Hivi ndizo habari za kustaajabisha za vyombo vya dola vya Mama Abduli.
Kuna watoto chini ya miaka 18, walemavu wasiosikia wala kusema, wameshtakiwa kwa uhaini.
Watoto hao, na walemavu, wakipatikana na hatia watakwenda kunyongwa.
Hapo ndipo, CCM, Mama Abduli, na genge lake, walipoifikisha nchi...