Ni swali tu wakuu,
Miaka 15 nyuma hili swali lilikuwa ni rahisi sana kulijibu maana Serikali ya Kikwete ingeenda upande wa Marekani maana mahusiano yetu na watu wa magharibi yalikuwa ni kama Kiredio na Vee Dollarz
Baada ya Magu kuingia mambo yakabadilika kidogo. Tukaanza kuwaita marafiki...
China na Marekani hivi karibuni zilifanya duru mpya ya mazungumzo ya kiuchumi na kibiashara huko Stockholm, nchini Sweden, ambapo pande hizo mbili zilibadilishana maoni kwa kina kuhusu masuala ya kiuchumi na kibiashara.
Pande hizo zilifikia makubaliano kwamba, Marekani itaendelea kusimamisha...
China na Marekani zimeridhia kulegeza masharti ya kibiashara huku China ikisema itapitia upya na kuidhinisha maombi ya usafirishaji wa bidhaa yatakayoendana na kanuni zilizopo.
Marekani nayo ikiondoa hatua kali za kibiashara ilizoiwekea China.
Awali Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza...
Wabunge katika Seneti ya Marekani wahoji kuhusu uaminifu wa Kenya kwa Marekani kufuatia ziara ya hivi karibuni ya Rais William Ruto nchini China.
Katika muktadha wa vita vya kibiashara kati ya Marekani na China na mvutano mkubwa kati ya Mashariki na Magharibi, Ruto mwezi uliopita alitembelea...
Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
Donald Trump ni kama anataka kuja na mpango mpya wa punguzo la ushuru kwa China kutoka 145% kwa sasa mpaka 80% huku kazi nzima akiachiwa waziri wa fedha Scott Bessent.
Pia ni kama anaiomba au kuisisitiza China kufungua soko kwa Marekani japo yeye Trump anasema itakuwa ni vizuri kwa China ila...
Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti
GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama industrial production, mining, construction n.k minus imports.
Na GDP ya China huwa haihesabu...
Donald Trump was re-elected as the 47th President of the United States of America with the promise of making America Great Again. It sounds wonderful right? It is true that over years American peoples have suffered a lot from rising costs of living, stagnated wages, rising housing prices and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.