Hii simu imenivutia, japo upande wa Charger 18w,Resolution hauridhishi, pia haina memory card slot (sio ishu kubwa) Mimi si mtaalamu sana wa haya mambo. Pia si mpenzi wa picha, camera sio ishu kubwa. Lakini pia iko na Android 13. Nataka nibadili aina ya simu na saii niko na infinix note 20.