cheti cha kidato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nimesoma mbaka chuo kupewa mkataba nalazimishwa kutumia cheti cha kidato cha sita

    Baada ya kujitolea kufanya kazi kwenye taasisi fulani binafsi kwa miaka si chini ya miwili nimepewa mkataba. Nimelazimishwa kutumia cheti cha kidato cha sita wakati nina elimu ya chuo(degree) nimefadhaika kimtindo. Inaonekana watu wenye elimu kubwa kuanzia degree, masters na PhD kwenye baadhi...
  2. JamiiForums Tanzania Kama umepoteza cheti cha kidato cha nne na 6 naweza kukusaidia mchakato wa maombi na ukapata ndani ya siku 40 za kazi bila longolongo

    Kama umepoteza cheti cha kidato cha nne na 6 naweza kukusaidia mchakato wa maombi na ukapata ndani ya siku 40 za kazi bila longolongo Kwa msaada zaidi njoo dm
  3. JamiiForums Tanzania Mshahara: Askari Magereza anaeanza kazi na Cheti cha Kidato cha Nne

    Salaam Wakuu. Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa. Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi Angalizo; Mimi si Askari na sina...
  4. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa cheti cha kidato cha Nne (CSEE)

    Habari Wana jukwaa! Mwenzenu nimepotelewa na CHETI CHA KIDATO CHA NNE (2012), nafanyaje Ili nipate kingine, au Kuna taratibu gani za kufuata. Ushauri tafadhali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…