cheka tu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    Wakuu najikuta kucheka cheka tu, msaada tafadhari

    😂😂😂😂
  2. Mad Max

    Mchekeshaji Asmah wa Cheka Tu kanunua Mitsubishi Outlander: Kaleta na Outlander Tour!

    Kuna msanii wa kike wa vichekesho wa Cheka Tu, kipaji chake kimemlipa sasa amenunua ndinga, Mitsubishi Outlander 3rd generation ya mwaka 2016 hadi 2017. Inavyoelekea Wasanii wa comedy mambo yao yanaenda vizuri maana naona vijana wanatungua mandinga tu. Kila lakheri kwake. Outlander ni moja...
  3. FK21

    Huyu mchekeshaji wa kike anaitwa nani?

    Uyu mdada anaitwa nani? Kiukweli anajua sana. Mdada hachoki kumsikiliza.
Back
Top Bottom