Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake...