charles kichere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CAG: Shirika la Ndege ATCL limepata hasara Tsh Bilioni 191.91. Ni ongezeko la 108% ndani ya mwaka mmoja

    Wakuu, Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema "Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la...
  2. R

    Charles Kichere, Mkaguzi Mkuu CAG: CUF na NRA wamepata hati ya Mashaka, sikuweza kukagua hesabu za CHADEMA sababu ya kesi zao Mahakamani

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere akiwasilisha Ripoti za ukaguzi za kila Mwaka leo Machi 30, 2026 Ikulu Dar es Salaam " Kwa uapnde wa vyama vya siasa chama cha Civic united front (CUF) kimepata hati ya Mashaka na Nationai reconstruaction Alliance (NRA)...
  3. Ripoti ya CAG: Kuna Tshs Milioni 892.92 zililipwa bila Serikali kupokea uthibitisho kuwa miradi imetelekezwa

    Wakuu, CAG ameendelea kuibua madudu yaliyopo kwenye sekta mbalimbali hapa nchini ofisi yake imebaini kuwa miradi minne ililipa jumla ya Sh. 892.92 kwa mafundi na wakandarasi kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu bila kutumia nyaraka za vipimo, nyaraka ambazo zinathibitisha kazi...
  4. SoC03 Tujibu Ripoti ya C.A.G

    Ripoti ya mwaka ya Mthibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/22, ilibainisha mapungufu mbalimbali katika nyanja tofauti za uendeshaji wa Serikali. Hii ni ishara tosha kuwa, kuna haja ya kutafuta njia mbadala na makini za kutatua changamoto hizo ili...
  5. Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…