changamoto za nyumba za kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Ni kero gani ambayo ushawahi kukutana nayo wakati unatafuta nyumba ya kupanga?

    Wakuu, Hata kama umeshashusha mjengo watu wengi huwa wanapanga sana chumba au nyumba Sasa kabla ya kupata nyumba ya kuishi kunakuwa na ile process ya kuipata hiyo nyumba Siku hizi kila kona kuna madalali na mimi hawa ndo wananikera sana. Kuna wakati nilikuwa natafuta nyumba nilizungushwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Kupanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo ni shida sana

    Nimepanga nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo hapo! Nimejikuta nikijilaumu na kujuta sana kwa nini nilifanya maamuzi hayo. Maana mama mwenye nyumba anatabia mbaya sana, anapenda sana kuongea kwa mafumbo anapomuona mke wangu mara akisalimiwa aitikii yani ni vituko juu ya vituko. Wakiwa...
  3. cold water

    Nyumba ya kupanga!

    Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa. Siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote...
  4. T

    Changamoto kutoka kwa baba Mwenye Nyumba imetatulika

    Nianze na Salamu kwanza ndugu wa zangu wa JF, wakubwa shikamoo na wadogo kwangu habari zenu na rika langu je mambo vipi!? Baada ya Salamu naomba niseme kwa yoyote mwenye changamoto yoyote MWENYEZI MUNGU ATASAIDIA WAdau baada ya kuandika Uzi wa baba mwenye Nyumba ananidai Kodi yake basi...
  5. Hyrax

    Leo nimemfukuza mpangaji wangu kwa tatizo lake la kuleta wanawake tofauti nyumbani kwangu na kusababisha usumbufu kwa wapangaji wengine

    Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi. Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao...
  6. Davidmmarista

    Nyumba nzuri, kodi nafuu lakini nyumba ilikuwa ina jinamizi

    Habari wana JamiiForums! Nimekuwa msomaji wa muda mrefu humu, lakini leo nimeona ni bora nishiriki moja ya matukio ya kutisha zaidi kuwahi kunikuta maishani mwangu. Najua kuna watu wengi hawataamini, wengine watafikiria ni hadithi za kutunga, lakini nawaambia kwa uhakika—nilipitia jinamizi la...
  7. Paul dybala

    Nyumba ninayoishi inasemwa kuwa ina mauzauza sana lakini sijawahi kuyaona

    Wakuu nyumba ninayo ishi(nimepanga),kiukweli nyumba hii inasemwa vibaya sana na watu mtaani,..inasemwa kuwa ina mauzauza sana. Watu huniuliza sana ninaishije mahali hapa,..hata mwenyeji nikimuelekeza ninaishi nyumba flani hunishangaa sana,...kiasi mimi nina miaka mitatu lakini sijawahi kuona...
  8. Mbwa dume

    Jamaa kaingizwa chaka na dalali kwenye nyumba ya kupanga

    Kuna bwana mdogo mtoto wa jirani yangu tulikuwa naye hapa Dom alimaliza chuo akakosa ajira ikabidi aje tupige naye mishe za kuuza majeneza angalau apate japo pesa ya kula na tumekuwa naye hapa for almost one year Sasa week iliyopita amebahatika kupata ajira kwenye taasisi moja binafsi Dar...
  9. sam green

    Mpangaji mwenzangu amekuwa na tabia ya kunijali sana kama mimi ndio mume wake vile

    𝘏𝘢𝘣𝘢𝘳𝘪 𝘻𝘦𝘯𝘶, 𝘸𝘢𝘱𝘦𝘯𝘥𝘸𝘢, 𝘔𝘪𝘮𝘪 𝘯𝘪 𝘬𝘪𝘫𝘢𝘯𝘢 𝘢𝘨𝘦 26. 𝘕𝘪𝘮𝘦𝘱𝘢𝘯𝘨𝘢 𝘴𝘦𝘩𝘦𝘮𝘶 𝘧𝘭𝘢𝘯 𝘵𝘶𝘱𝘰 𝘸𝘢𝘱𝘢𝘯𝘨𝘢𝘫𝘪 𝘬𝘢𝘥𝘩𝘢𝘢, 𝘸𝘰𝘵𝘦 𝘩𝘢𝘸𝘢𝘫𝘢𝘰𝘭𝘦𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘩𝘢𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘢𝘭𝘪𝘺𝘦𝘰𝘸𝘢 𝘛𝘶𝘱𝘰 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘶𝘮𝘦 𝘸𝘢𝘸𝘪𝘭𝘪 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘸𝘢𝘬𝘦 𝘸𝘢 3 𝘪𝘭𝘢 𝘸𝘰𝘵𝘦 𝘮𝘢 𝘴𝘪𝘯𝘨𝘭𝘦 𝘮𝘰𝘵𝘩𝘦𝘳, 𝘩𝘢𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘢𝘭𝘪𝘺𝘦 𝘰𝘭𝘦𝘸𝘢, 𝘚𝘢𝘸𝘢𝘭𝘢 𝘭𝘪𝘯𝘢𝘬𝘶𝘫𝘢 𝘩𝘪𝘷𝘪 𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘮𝘱𝘢𝘯𝘨𝘢𝘫 𝘮𝘮𝘰𝘫𝘢 𝘢𝘨𝘦 𝘬𝘢𝘮𝘢𝘢 22 𝘢𝘶 23 𝘩𝘷, 𝘫𝘢𝘱𝘰 𝘸𝘰𝘵𝘦 𝘯𝘪 𝘬𝘢𝘮𝘢...
  10. Mangole Valles Michael

    Mimi na wapangaji wenzangu tumepgwa faini ya sh200,000/= na serikali ya mtaa. Nipeni mbinu ya kuchomoka hapa

    Wakubwa kwema.? Mimi na wapangaji wenzangu tumepigwa kiasi hicho Cha faini kwasababu ya kuto kuweka mazingira kwenye hali ya usafi. Sisi wanaume wa hapa tunapo ishi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi usiku nyumbani uratibu wa maswala ya usafi yanafanywa na wanawake nyumbani. Leo imetokea Kama...
  11. BabaMorgan

    Wenye nyumba Dar acheni manyanyaso sisi wengine tunamiliki penthouse tulipotoka

    Huyu mwenye nyumba natamani siku moja nimpandishe Super feo mpaka Namtumbo nilipotokea ili ajue mi ni mtu wa aina gani maana dharau zinazidi watu tulipotokea mitaa inaitwa kwa jina la familia na hata hatuvimbi hapa town tupo humble tu. Mtu kumiliki kakibanda Dar es salaam anajiona kama katoboa...
  12. Trinity

    Je, umewahi kusingiziwa/ kusemwa jambo ambalo si kweli?

    Nawasalimu kupitia jina kuu lipitalo majina yote. Aisee hii imenitokea Leo na imefanya nakosa usingizi Kwa mawazo. Nimepanga nyumba ambayo jumla tupo wapangaji 3. Wenzangu wote wopo mume na mke isipokua mimi. Jirani mmoja nimese jirani namba 1 alimsimulia jirani namba 2 kwamba mimi jirani...
Back
Top Bottom