changamoto ya huduma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Changamoto ya huduma ya bima za afya kwa wanavyuo

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa kwanza. Tulivyofika chuo tulipaswa kulipia bima ya afya 50400, lakini mpaka sasa hatujapatiwa hizo bima na semister inaenda ukingoni. Tulivyojaribu kufatilia walisema kuna namba za bima tutapewa zitatumika kipindi ambacho tunasubiri bima, lakini pia...
  2. Roving Journalist

    PSSSF yatoa ufafanuzi madai kuwa kuna changamoto ya huduma katika Tawi la Arusha

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa Mamlaka husika zichukue hatua juu ya Tawi la Arusha anapodai kuna huduma zisizoridhisha na kwamba wamekuwa hawawajali Wateja. Kusoma zaidi alichoandika...
Back
Top Bottom