Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi.
Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
Mwaka 1960, ANC ilipigwa marufuku kufanya siasa nchini Afrika Kusini, viongozi wake kama Walter Sisulu na Nelson Mandela walikamatwa wengine wakakimbia nchi, Oliver Tambo akachukua jukumu la kukiongoza chama hicho akitokea Zambia.
ANC iliendelea kufanya kazi katika mazingira magumu lkn...
Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho.
Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio.
Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe.
Tega sikio…
Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi!
Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk!
Kwa jicho la 3, mimi...
Nipo Arusha Leo kwa kweli inasikitisha
Ñaona ndege za jeshi zimabandikwa stika za mama zinazunguka hapa zaidi ya saa na nusu hazijatua ziko hewani tu gari zinasomba watu kupeleka stadium kwenye kampeni
Hali kwa sasa ni mbaya wananchi wengi wamekerekwa na Namna helcopter zinazunguka TU hapa...
Maelfu ya raia wa Ivory Coast waliingia mitaani mjini Abidjan, mji mkuu wa taifa hilo la Afrika Magharibi, kupinga kuondolewa kwa viongozi wa upinzani kwenye uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Ivory Coast, ambayo ndiyo uchumi mkubwa zaidi katika Afrika Magharibi...
Sijasema Mimi. Ndugu Pole pole ndo kasema kwamba ACT Iliaisisiwa na mwanamtandao mmoja maarufu miaka ya nyuma ili kumdhibiti Lissu, Dr Slaa na Chadema ya enzi hiyo. mwenyekiti wao akiwa Mbowe.
Namsubiri kwa hamu sana Polepole atupe na mmiliki halali wa Chaumma na asisahau kutuambia na...
Je, kuharakisha uchaguzi haraka hata kwa kuvunja katiba ya nchi na chama kunaweza kuwa na tija yoyote na kuzima mabadiliko nchini.
Tutazamie nini baada ya kuonekana mgombea wa chama tawala ambaye ni raisi kushutumiwa kuvunja katiba za nchi na chama ili kugombea uraisi tena bila kuangalia alipo...
https://youtu.be/fxKshd29204?si=Y-pLj6LM7zH-KRNk
Katika muktadha wa siasa na maisha ya kijamii nchini Tanzania, mara kwa mara tunasikia kauli potofu zinazodai kwamba Watanzania ambao hawapo katika mfumo wa serikali au chama tawala hawana haki ya kuishi wala kushiriki katika maendeleo ya taifa...
Wakuu natumai mnaendelea vyema.kwa wale wanaofuatilia matukio mbalimbali ya kisiasa na kijamii nchini mnakubaliana nami kwamba kuna mambo hayako sawa kabisa.
Kuna matukio ya wazi mfano kutovunjwa kwa Bunge,mvutano wa Vyombo vya ulinzi na Taasisi za kidini(shambulio la kitima,kufungiwa kanisa la...
Kitu kilichofanya CCM leo iitwe chama tawala na CDM iitwe chama kikuu cha upinzani ni uchaguzi uliopita.
Ikitokea chama chochote kati ya hivyo viwili hakitashiriki uchaguzi ujao basi ni wazi kuna chama kipya kitachukua status mojawapo hapo.
Ni kujidanganya kuamini kuwa utaendelea kuwa chama...
Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM.
Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
Ni wazi kuwa jina "Chama Tawala" dhidi ya "Vyama vya Upinzani" , Haileti usawa katika siasa za Tanzania.
Sababu ya Hoja hii ni kwamba; Majina haya huashiria maana zilizo jificha.
Kwa mfano, Endapo mtu akasikia chama fulani ni "chama cha Upinzani" Hufanya chama hicho kupoteza Ushawishi katika...
Chama Tawala kina mizizi mikubwa sana hapa Tanzania na hakuna njia ya kupambambana nacho ili kukiondoa,iwe kwa boksi la kura au hata nje ya boksi la kura but kwa bahati mbaya mno viongozi waandamizi pamoja na Makada wa Chama wamekuwa na Mawazo finyu juu ya upinzani kitu ambacho kinapekekea CDM...
Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka.
Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo.
Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu.
Unaficha nini...
Mfumo wa Tanzania umekita mizizi kwenye dola na mihimili mikuu ya nchi. Mageuzi hayawezekani kirahisi kama kwa majirani zetu.
Nchi inaongozwa zaidi na mfumo kuliko watu
UONGOZI WA MIKOA / WILAYA
Tanzania: Wakuu wa mikoa & wilaya wanateuliwa na mfumo. Wana nguvu kuliko wabunge wanaotakiwa...
Wale wanaoamini katika falsafa za Mwalimu Nyerere wakumbuke maneno haya
CCM itangushwa na wana CCM wenyewe
No reform no election ni falsafa muhimu sana kwa wakati huu lakini Hawa wanaoihubiri kwa nguvu sana sio wanaoenda kunufaika nayo
Aminini nawambieni yupo huyu mtu mwenye...
Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa.
Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki.
Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi:
Katika akili za kawaida kabisa...
Hellow!
Bandiko hili litunzwe.
Nadhani umesikia kuwa CHADEMA haitoruhusiwa kushiriki uchaguzi ujao eti sababu hawajasaini fomu ya maadili feki, hii SI kweli.
Utafanyika uchaguzi na CHADEMA itashiriki na itapata wabunge wengi kuliko chama Cha majani mabichi, na jambo hili haliingii akilini kwa...