Je, CHADEMA ni CCM B?
Hili ni swali nimejiuliza kwa siku kadhaa baada ya kutokea tukio la udhalilishaji huko Mara. Tukio lenyewe ni kada wa CHADEMA aitwaye Chacha Heche kumshurutisha kwa maneno ya hovyo mzee mmoja aliyekuwa akifanya kibarua kwa ndugu Chacha kwamba avue shati la CCM. Lilikuwa...
Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party.
Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi.
Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu.
Haya lambeni asali sasa.
Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!.
Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili.
(Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
Salaam Wakuu
Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani.
Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi.
Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI, CHADEMA nk, Wamesusia mkutano wa Waziri Mkuu na vyama vya Siasa. Lakini Zitto anahimiza eti Shime...
NI CHAMA GANI CHA UPINZANI KIMEJIPANGA KUIONDOA CCM MADARAKANI?
Wakati Chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujiimarisha katika nyanja mbalimbali uku kikiendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya uchaguzi na kuzidi kuwavutiwa wanachama walio wengi nje na ndani ya chama vyama vingine vya upinzani...
Katika binadamu aliowaumba hapa duniani watanzania aliwapa sifa na vipawa tofauti kama ifuatavyo
Wakati MUNGU amewaumba wanadamu kusahau lakini wamepewa uwezo wa kukumbuka lakini Watanzania MUNGU ametuumba kusahau milele bila kukumbuka.
Mungu aliwaumba Watanzania kuwa wapole na wavumilivu...
Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao.
Kwa upande wa vyama, naamini ni kama madaraja tu ya kuwasaidia watu kupata sifa ya kuwa wagombea na kukidhi...
Hapa utaibana Ccm kama enzi zile unaibana juu ya mafisadi papa na list of shame ukiwa Chadema.
Wewe unavyanzo kibao vya kupata data za wezi wa mali za umma. Ukiwa na chama chako utakuwa na nafasi kubwa kuibana Ccm.
Watanzania wanaimani kubwa na wewe, maana hauna historia ya upigaji madili...
Rais Samia kwenda Zambia na Kikosi cha Viongozi mbalimbali wa CCM Je, ni mkakati wa kujenga Urafiki na kilichokuwa chama Pinzani?
Leo Rais Samia anatarajia kuondoka nchini kuelekea nchini Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa nchi hiyo Hakainde Hichilema , miaka yote tumezoa Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.