chama cha mapinduzi

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa kwenda CCM ni moja kati ya 'usajili' mbaya kuwahi kufanywa na vyama vya siasa

    Kwa sasa Tundu Lissu ndiye mwanasiasa pekee ambae kuhama kwake sehemu kunaweza hama na watu , sababu nyuma kuna watu wengi sana ambao ni wafuasi wake na wana imani na yeye. CCM wamemchukua Msigwa kama mtaji ndio maana anapewa airtime kwenye mikutano. Kiuhalisia sasa ni kwamba Mchungaji imani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

    Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza...
  3. JamiiForums Tanzania Muungano ukifa CCM itabaki Zanzibar au Tanganyika?

    Najiuliza sana kuhusu hii. Je, muungano ukifa, vyama vya siada ambavyo vipo bara na visiwani vitabaki upande gani, au Sheria pia unasemaje kuhusu hilo suala, au inawezekana chama cha siasa kikabaki pande zote mbili kwa maana ya Tanganyika na hicho hicho chama Zanzibar kama CCM? Naombeni maoni...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Itaendelea kubaki madarakani

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na historia yake, uwezo wake wa kupatanisha itikadi za kisiasa, uimara wa miundombinu yake ya chama, Uongozi, na udhaifu wa vyama vya upinzani. CCM imefanikiwa kujenga misingi imara ya utawala na imesimamia maslahi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Balozi Karume amemsahau Liu Zhidan wa chama cha CCP cha China aliyefutiwa heshima akiwa kaburini

    China ya KIKOMUNISTI ina historia nzuri sana ulimwenguni. Leo nitazungumzia kisa cha kusitishiwa heshima kwa komredi Liu Zhidan aliyekuwa mtu muhimu ndani ya chama cha CCP. Kisa cha Liu Zhidan Alikufa akiwa na heshima na "TITLE" ya mfia nchi na shahidi wa harakati za umma (martyr) lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii CCM hatuwezi kujipiga kifua

    Tunaposifia kuupiga mwingi tujihoji kabla ya November 2024 na 0ctober 2025, miradi mkakati hasa ya miunddombinu ambayo kukamilika kwake kungechechemua uchumi wa Nchi imesimama, wakandalasi hawajalipwa pesa, kwanza hili ni janga kwa sababu tunaongeza riba lakini ni angalizo la uimara wetu na...
  7. JamiiForums Tanzania Misururu mirefu na misongamano ya vijana kujiandikisha kujiunga na Chama cha Mapinduzi ni mikubwa mno. Hongereni sana vijana Tanzania

    Ndugu zangu, Wanafunzi wa sekondari na wa elimu ya juu ngazi mbalimbali nchini karibuni sana chama Tawala... Kwanza hongerini sana kwa kuhamasika kiasi hicho na kuamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM. mmefanya uamuzi wa hekima na busara sana kwa faida na mustakabali wa maisha yenu wenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe hata wazee wameikataa CCM. Vijana waliopo huko tuwaweke kundi gani?

    Nimesikiliza huyu mzee kisha nimejiuliza hawa vijana wanaovishwa mashati ya kijani na kuukataa ukweli tuwaweke kundi gani? Upungufu wa maarifa au tamaa mbele? Hawayaoni yanayo endelea au kwao ni potelea mbali?
  9. JamiiForums Tanzania Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM ondoeni dhuluma hii jimbo la Mwanga! Joseph Tadayo hajui majukumu ya mbunge wala kazi za kibunge

    Kwa mfumo wa kura za maoni kupigwa na wajumbe tu kumeleta madhara makubwa ya kiuongozi nchi hii Jimbo la MWANGA mkoani Kilimanjaro ni Moja kati ya majimbo yalokosa uelekeo wa kiuongozi katika awamu ulopita. Mbunge wa Mwanga ndugu yangu Joseph Tadayo sio tu kuwa hajui majukumu ya Mbunge Bali...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

    Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono... Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi.. Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

    Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa. Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Kinana Alirudi CCM na Kisha Kujiuzulu Nafasi ya Mwenyekiti Msaidizi wa Chama?

    Kwanini Kinana alirudisha majeshi CCM, kujiuzulu? Na Luqman Maloto Julai 29, 2024, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Abdulrahman Kinana kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho-Bara. Uamuzi kama huo ulikuwa Mei 28, 2018, Kinana...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitendo cha CCM kupita mashuleni wanafunzi wajiandikishe ni mbinu mpya? Je, CHADEMA au ACT-Wazalendo wataruhusiwa nao kwenda?

    Huyo ni kiongozi wa CCM yupo shuleni anatoa hamasa wanafunzi wajiandikishe tangu nimenza kusoma takribani miaka 20 iliyopita sijawahi ona chama chochote cha siasa kinakuja kuamasisha wanafunzi wajiandikishe kupiga kura. Serikali ituambie je CHADEMA na ACT-WAZALENDO waende shuleni?
  15. JamiiForums Tanzania Nimeamini CCM itaendelea kutawala hii nchi mpaka itakapoamua kupumzika

    Mambo mawili niliyo amini baada ya taarifa ya utumbuzi wa Nape Nnauye na wengine ni 1. CCM itaendelea kuitawala hii nchi miaka tele ijayo. 2. Yanga itaendelea kutawala soka la hii nchi Kwanini? Watu wamesahau kuwa uteuzi na utenguzi ni maigizo ya CCM miongo na miongo, Nape huyu na January...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uandaliwe mpango mkakati wa kuiondoa CCM madarakani. CHADEMA somesheni vijana!

    Mpango mkakati wa CHADEMA nadhani umejikita katika kipindi kifupi na ndiyo mkakati ambao umetumiwa na vyama mfu vya upinzani kuindoa CCM Madarakani. Nilishangaa sana CHADEMA kumpokea LOWASA na LAZARO NYALANDU wote hawa hawakua chaguo sahihi kwa chama kikubwa cha upinzani. Mipango mkakati ya...
  17. JamiiForums Tanzania CCM itakaa madarakani milele kwa sababu ya upinzani dhaifu

    Kwa jinsi nilivyoona siasa za hii nchi yaani chama kama CCM hakitotoka madarakani. Sababu moja wapo ni upinzani dhaifu nikisema hivyo nadhani mnanielewa. Kila siku wapinzani wanalalamika wanaibiwa kura halafu uchaguzi unaofuata wanashiriki tena hivi hii ni akili au kichaa kingine wapinzani hao...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanachama wa CCM ni wengi lakini hawavutiwi kuangalia Youtube Channel ya Chama Cha Mapinduzi Makao Makuu?

    Ndugu Zangu Namba hazidanganyi, wanachama wameikacha hii channel yao. Kunahitajika utafitu wa kina kujua kwanjni tunaanbiwa idadi ya wanachama wa ccm na hata wasio wanachama lakini wafuasi ni wengi ispokuwa Channel inayotangaza matukio na elimu bado hawaifati. Baadhi ya Watu wanasema...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Vijana tuamke, hawa CCM hawana huruma watachukua kila kitu

    Maisha yamekuwa magumu nchi inatafunwa, hakuna kinachofanyika kuweka mazingira wezeshi kwa wananchi. Fedha zinakopwa kwa ajiri ya miradi zinaishia kwenye mifuko ya wanasiasa. Kazi yao nikusema wanajenga nchi huku hakuna kitu kama hicho. Wanajenga mifumo ya kutengeneza watoto wao kuishi maisha...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanaporejea Chama cha Mapinduzi (CCM)

    WAPINZANI MNAPORUDI CCM NI LAZIMA MFAHAMU CCM INAONGOZWA KWA SHERIA, KANUNI MIONGOZO NA TARATIBU ZINGINE. Tusome Katiba ya CCM 1977 toleo 2020 uk 07 ibara 12(1) kisha tukasome uk 151 kifungu cha 01 na cha 08 Niliwahi kusoma Gazeti la TAZAMA la Tarehe 7 -13/01/2020 uk 05 liliandika, Wakati huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…