chaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Etwege

    Dawa ya Oktoba 29/2025 ndiyo pekee itakayowaingia vizuri ccm kwenye chaguzi zijazo

    Lugha pekee watakayoielewa ccm ni ile ya Octoba 29. Lugha iliyozungumzwa na watanzania siku ya uchaguzi mkuu octoba 29/2025 ndiyo lugha pekee wanayoielewa CCM hasa CCM mtandao. 1. Kwanza kususia huo uchaguzi kuliwatia hofu sana ccm ndiyo maana walitumia kila njia ionekane kuna foleni za wapiga...
  2. K

    Jamaa kaelezea vizuri chaguzi

    https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=UfxyEouEVGPktzNi
  3. R

    Bora tuwe na serikali mseto kuliko kutumia mbinu za kijima,kishamba kwenye chaguzi zetu hizi!

    Wakati mwingine natamani nichukue fimbo niwachape viboko makada wazee wa chama changu ccm mpaka basi! Hivi kilichofanya Hadi mkachelewesha katiba Hadi Leo tunakosa option ya ushindi Hadi tumwage damu kiasi hiki ni nini!!? We mzee kikwete kilichokufanya usisimamie katiba mapema ipatikane na...
  4. Mto wa mbu

    GE2025 Jakaya Kikwete aondolewe kwenye orodha ya waangalizi wa chaguzi za SADC na AU

    Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana. Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu. Uku kwetu bila aibu...
  5. funaku

    GE2025 Kwa tulioshuhudia chaguzi za vyama vingi toka 1995 hadi sasa Hali ya uchaguzi 2025 ni tulivu sana

    So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025. Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu. Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
  6. Genius Man

    GE2025 Kama chaguzi sio za haki basi ni wazi mapinduzi ya kimamlaka yapo mda, mapinduzi ya kiserikali sio mpaka ya kijeshi ni hata haya ya kuiba kura

    Kama chaguzi sio za haki basi ni wazi mapinduzi ya kimamlaka yapo mda, mapinduzi ya kiserikali sio mpaka ya kijeshi ni hata haya ya kuiba kura Kitendo cha kuiba kura bado hakichukuliwi kama kitendo cha hatari kwenye nchi, kitendo cha uhaini na kujaribu kupindua utawala wa kiraia. Mapinduzi...
  7. Superbug

    GE2025 Polepole aliwahi kusema CCM itatawala miaka 70 sioni hili likitokea hata miaka 5 ijayo

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi. Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke yenu matokeo yake uchaguzi umedharauliwa. Hizi ni hatua za mwisho za kuitamatisha CCM kwani...
  8. K

    Chaguzi za Rojo: Samia vs Mwalimu🤦🏾‍♂️😂

    Yaani Mama kamuogopa hata mgombea fake Mpina sasa anamuamini Royo mwenzake tu Mwalimu
  9. B

    TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  10. K

    GE2025 Kanisa Katoliki toeni tamko ya kugomea chaguzi za kitapeli

    Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake! Toeni tamko tuache uoga na unafiki
  11. M

    Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki. Huu ujumbe wa Polepole...
  12. K

    Watu wawili ambao wanaweza kutuletea demokrasia na chaguzi huru sio wanasiasa!

    Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini 1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na...
  13. McLaren

    GE2025 Sugu: No Reforms haikuanza na CHADEMA. No Reforms walianza nayo wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita

    Wakuu, Akizungumza leo, Sugu amesema kuwa agenda ya No Reforms No Elections haikuanzishwa na CHADEMA bali wananchi kwenye Chaguzi kadhaa zilizopita. Sugu amesema kuwa kwenye Chaguzi zilizopita Wananchi walikataa tamaa kwenye Uchaguzi kwani walianza kukataa kujitokeza kupiga kura Msikilizeni hapa
  14. M

    GE2025 Alliance for Democratic Change (ADC): Polisi wanatutesa sana kwenye chaguzi

    Akizungumza katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa leo Agosti 18, 2025 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu amelalamikia...
  15. Huihui2

    GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

    Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026. Ratiba imetoka hiyo...
  16. ELI COHEN

    Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  17. 1Africa54

    Uongozi wa kijeshi Burkina Faso wavunja tume ya uchaguzi, jukumu la chaguzi lawekwa chini ya wizara ya mambo ya ndani

    Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi imesema kuwa tume hiyo ilikuwa inasababisha upotevu mkubwa wa fedha bila kuleta ufanisi wa...
  18. CM 1774858

    INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
  19. Alloyce PR

    Chaguzi Ndogo kama Kigezo cha Mwelekeo wa Uchaguzi Mkuu

    “Matokeo ya chaguzi ndogo mara nyingi hutoa taswira ya mwelekeo wa uchaguzi mkuu. Ikiwa chama ‘R’ kimepata ushindi wa zaidi ya asilimia 80 katika chaguzi ndogo, kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kwa hadi asilimia 90+ katika uchaguzi mkuu. Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama...
  20. M

    Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
Back
Top Bottom