Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ameamini Ekaristi takarifu inaponya na inaleta undungu, kufuatia kitendo cha Padri Dkt. Charles Kitima kuwakutanisha pamoja Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John...
Tunatakiwa kujiuliza kwanini nchi inapotaka kufanya maandamano ya amani na ku express hisia za wananchi, CCM huwa inahaha kuhakikisha hilo jambo halitokei, kuna nini? Shida ni nini?
Je ni mkate wenye siagi nyingi utapotea?
CCM na serikali yake inalazimisha umma kuamini nchi inaamani, uhalisia...
Kwasasa tusidanganyane hakuna Chama cha siasa cha umpizani kinachoshawishi CHADEMA sio Chama cha kukitegemea hata viongozi wake wenyewe bado hawajajitambua na kwa nyakati hizi hatuna viongozi au wanasiasa wenye ushawishi wengi wanatetea matumbo yao acheni kujichosha hakuna upinzani now...
Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia..
Hata namna maandamano hayo...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Chadema imeingia Nkasi na kufanya Maandamano Makubwa na Mkutano mkubwa wa Hadhara.
Mkitano huo umehudhuriwa na Umati mkubwa wa Wananchi bila kujali kutekwa na kuuawa!
Makamu Mwenyekiti wa Kanda hiyo Frank Mwakajoka ameongoza Jambo hilo
Leo wakati wa maandalizi ya mwisho kwaajili ya ibada na maombi maalumu kesho Jumapili yenye dhumuni la kuiombea nchu yetu amani, Mzazi moja kwa niaba ya wazazi wenzie mbele ya vijana walioshiriki maandalizi ya ibada hiyo maalumu ya kuombea nchi amani,
Aliongea kwa uchungu mkubwa huku akiwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala nchini Tanzania na ni moja ya vyama vya kisiasa vilivyodumu kwa muda mrefu barani Afrika. CCM ilianzishwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama viwili, Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP), ambavyo vilikuwa vikifanya...
Hata mimi nimeona ni vema nikaungana na Dunia yote kumtakia heri hiyo Mtu huyu, tunu ya Taifa na Mwamba wa siasa za kisasa barani Afrika.
Tajiri/Bilionea aliyeamua kutumia Utajiri wake wa halali kupigania haki za Masikini wa Tanzania waliopachikwa Jina la kudhalilisha la Wanyonge na Watawala...
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?
Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
Kuna kila haja na lazima kwa CCM kujipanga upya katika idara yake ya Propaganda. Ni ama idara hiyo imefeli ama haipo kabisa kuweza ku-attack mabomu ya Chadema. Kama ni vita basi tunaweza kuifananisha Chadema na Israel na CCM kuwa Hamas. CCM imezidiwa mno. Yumkini bomu la tarehe 23/9/2024...
Naendelea kusisitiza tu hoja zangu
Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema
Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi
Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi...
Salaam Wakuu
Sote tunayo taarifa ya mipango ya kufanyika Maandamano. Yanayoandaliwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Maandamano hayo yanakuja baada ya vitendo vya utekaji na mauaji ya baadhi ya viongozi wa Chama hicho.
Tayari Jeshi la Polisi Nchini limeshapiga marufuku uwepo...
Nimeisikia taarifa iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi, afande ACP Misime, ambayo alidai kuwa maandamano ya CHADEMAni ni haramu, Kwa hivyo wameyapiga marufuku.
Lakini katika taarifa hiyo ya Afande Misime, hajaongelea kabisa, madai ya CHADEMA waliyoyatoa katika taarifa yao ya kuitisha...
Kwa watu wanaoujua mchezo wa chase huu mchezo uchezwa na watu wenye akili tu.
CHADEMA isikubali kufungwa chase na watu wenye akili ndogo kama hawa, iko hivi; umma wa Tanzania tuna maswali lukuki kwa jeshi lililofeli la Polisi na tunataka majibu ya kueleweka akiwemo huyo muuaji wao killing...
ali kibao
ccm
chadema
kuelekea 2025
maandamano
maandamano chadema
polisi
polisi yazuia maandamano
siasa tanzania
utekaji
utekaji tanzania
watu wasiyojulikana
Wanajamvi za muda huu?,
https://youtu.be/JYA8O-5Apeg?si=QkR1Ts42tJqTZrct
Bila kupoteza muda, ninatumaini kuwa wengi wetu tayari tuna ufahamu kuhusu suala linaloendelea la “Maandamano ya CHADEMA” yaliyotarajiwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024. Kwa wale ambao huenda hawajajua, sababu kuu ya...
Watu watajiuliza hii ninayoiita ‘Law of Pressure’ ni kitu gani?
Kisayansi, unapokutana na maada (Matter) mfano wa lijiwe likubwa na ukatakiwa uweze kulitawanyisha vipande vipande, huwa ni kazi ngumu sana ikiwa ulichonacho mkononi ni nyundo ndogo tu.
Kwa tafsiri ya picha, CCM inawakilisha...
NUKUU
"Kuanzia Jumatatu [Septemba 23] sisi tutaingia barabarani kudai tunachoona ni uhai wa watu wetu waliopotezwa, vinginevyo serikali imechukua hatua za haraka na za makusudi kuwarejesha, watu kujiuzulu, na watu wote kuwajibika.” - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
Pia soma: Kuelekea 2025...
https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...