chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna matatizo makubwa ya kiutawala yanayo chochewa zaidi na ombwe la uongozi, unadhani tatizo liko wapi?

    Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa na yanayochochea migawanyiko na kutoheshimiana miongoni mwao? Je, ujuaji mwingi, ujeuri na ubinafsi...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

    Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC =============== "DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Walioenguliwa CHADEMA wakosa tena sifa!

    Wakuu, Sidhani kama hizo sehemu nyingine mambo yatakuwa tofauti. Serikali (CCM) itasema mchakato ulikuwa wa huru na haki, wamepokea hata mapingamizi tena wakaongeza na siku za kupokea mapingamizi hayo lakini bado walioweka mapingamizi wamekosa fursa, Demokrasia yetu imekomaa kabisa! Sasa hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya wanao lumbana CHADEMA, unadhani nani ana uwezekano mkubwa zaidi wa kutimkia CCM na nani anadalili zote kutimkia vyama vingine vya siasa nchi?

    Friends, ladies and gentlemen. Unadhani nani atakua wa kwanza miongoni mwa viongozi waandamizi CHADEMA wanaozodoana na kulumbana hadharani kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, atashindwa kustahimili mgandamizo wa joto la kisiasa ndani ya chadema na kukimbilia kwingineko? Unadhani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

    Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Mpasuko Ndani ya CHADEMA Unaashiria Kuporomoka kwa Chama?

    Madai ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha yamekuwa yakitajwa, huku wakosoaji wakimlaumu Mbowe na viongozi wa chama kwa kukosa uwazi na kushindwa kuleta mabadiliko ya kweli. Swali linalojitokeza ni: Je, CHADEMA bado kina nafasi ya kushinda uchaguzi ujao wa serikali za mitaa? Mgawanyiko huu...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA yashindwa kuwawekea mawakili George Sanga na wenzake. Huku makamanda wakila bata uraiani.

    Mdude amesikitika sana. 👇
  8. JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CHADEMA ambae husema ukweli daima.

    👇
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni waoga wamebaki kuilaumu CHADEMA

    Sehemu kubwa ya watanzania ni waoga sana kwenye kupambana hadharani na CCM. Lakini watanzania hao hao ni mafundi wabobevu kwenye kuilaumu CHADEMA. Na watanzania wengi sana ni rahisi na wanaona ni salama kwao kushabikia propaganda za CCM dhidi ya CHADEMA kuliko kuunga mkono ukweli unaosemwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Sare za Chadema zaanza kugombewa Kariakoo, Haifahamiki Sababu yake

    Hii ndio Taarifa mpya zinazozunguka kote mitandaoni, jioni ya leo kwa saa za Tanzania Unaambiwa Mauzo ya nguo hizo yamepanda ghafla hadi kuwatia hofu wauzaji wake, Si Magwanda wala Madela. Bado haijajulikana sababu hasa za mauzo hayo kupanda haraka kiasi hicho, Bali wadau wanaona labda kujaa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hapo hamjapewa nchi je mkipewa nchi itakuwaje CHADEMA

    Uongozi wa chama hiki ambacho wengi wanadai wanakiamini kila mtu mbabe, hapo ndio watanzania wajue aina ya watu wanaotaka kupewa uongozi wa nchi, Tundu Lissu ni makamu wa mwenyekiti chadema, ukisema hakukuwa na makubaliano ya nusu mkate wakati Lissu kiuongozi anafuata baada ya Mbowe utakuwa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Amebaki Mwenyekiti Freeman Mbowe pekee yake kusema kuhusu CHADEMA

    Friends ladies and gentlemen... I can confirm to you without fear of contradictions, muungwana anaandaa madini na nondo za maana sana right now. Hakuna mkuu wa taasisi muerevu, anaweza kukaa kimya katika hali hii. Hayapo duniani. Muda wowote tu kuanzia sasa Lazima muungwana, statesman, mwamba...
  13. E

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ntakuwa wa Mwisho kuamini wagombea wa CHADEMA Serikali za mitaa wanaweza kujaza form za uteuzi kwa ufasaha

    TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani. Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa ya moto, kama ndani kwa moto, nje wataweza kweli kuzima moto? Watatoboa kweli November 27? === CHADEMA kimejitokeza hadharani kukanusha vikali tuhuma zinazohusishwa nacho, hasa kuhusu madai ya rushwa na ufisadi yanayoelekezwa kwa baadhi ya viongozi wake na...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu hoja za Tundu Lissu: "Hakuna Serikali ya Nusu Mkate, Sio Sera Yetu"

    Wakuu CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu ===== Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo zimesababisha wanachama, wapenzi wa Chadema na Wananchi kwa ujumla kutaka ufafanuzi rasmi wa Chama; 1. Chadema...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA haifai kabisa kuongoza nchi kwa sasa Tujipange haswa! Kuna Mkanganyiko

    Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA 1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema. 2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili hamjalifanyia press. 3. Ufafanuzi huu umetolewa kwa mujibu wa kikao kipi cha kamati kuu? Kwani...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu utaweza kusukuma gari ukiwa ndani ya gari au ni bora ushuke kwanza ndipo ulisukume ili uendelee na safari yako ya kisiasa?

    People's power! Bila shaka Mh. Tundu Lissu ni mzima wa afya njema. Pole na kulipigania hili pendwa taifa hili. Mwanasiasa mwenye msimamo mikali zaidi Tanzania, mzalendo namba moja Tanzania, mwanaharakati hatari zaidi Afrika, yote, mpigia nia haki zaidi Tanzania, mwasiasa ulie nyooooka, huna...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenezi CHADEMA Simanjiro amepongeza mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024

    Kuna baadhi ya maeneo wagombea wa CHADEMA wameenguliwa lakani wengine wanafurahia mchakato unavyoendeshwa hadi sasa. ============= Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Ambrose Ndege, amepongeza mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi wa...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kuendelea kwa Chaguzi za ndani Chadema wakati tupo kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inaashiria hawakujiandaa

    Huwezi ukaudanganya umma siku zote. Kwa vyovyote vile ilijulikana kuwa Kutakuwa na Uchaguzi wa SM mwaka huu na mwezi huu. Lakini inashangaza kuona CDM wapo kwenye mchakato wa uchaguzi wa ndani wa kutafuta viongozi wao. Kamwe wasitudanganye kwamba wanaweza kuingia kwenye uchaguzi wa SM huku...
  20. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haitaki wasomi?

    Tangua ujio wa Chadema zaidi ya miaka thelathini iliyopita, ni haswa chini ya uongoze wa Mzee Mbowe kumekuepo na snitofahamu kati ya viongozi wanohoji na ambao ni wasomi dhidi ya viongozi ambao hawako kwenye hilo kundi. Tumeshuhudia wasomi nguli wakiondoka chadema kwa sababu za ajabu kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…