chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Atakayeshidwa CHADEMA avunje makundi

    MIJADALA inayotawala sasa hivi kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu uchaguzi wa Chadema ngazi ya taifa, huku mchuano ukiwa kati ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na makamu wake, Tundu Lissu kutangaza nia ya kuwania uongozi wa juu. Tunashuhudia minyukano ya makada na hoja zenye...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA imeondolewa Democrat Union of Africa DUA

    Salaam wanajukwaa Nimekutana na hii taarifa kutoka mtandao wa X kwamba CHADEMA imeondolewa kwenye huu umoja wa DUA, Democrat Union Africa, na inaonekana taarifa pia imechapishwa na JamiiForums lakini kwenye account zake sijakutana nayo, naomba kufahamu uhalisia wa hii wakuu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania PHOTO: First Class CHADEMA members

    Sema neno moja kwa hawa wanachama daraja la kwanza toka Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: CHADEMA kufutiwa usajili upoteaji wa Wanachama wao

    Za ndani kuna mkakati unaandaliwa chadema kubebeshwa tuhuma za utekwaji na mauaji ya Mzee Wetu Ally Mohammed Kibao na viongozi wa CHADEMA watakamatwa na CHADEMA itafutiwa Usajili sababu kuna wana Chadema wameshaatengenezwa kutoa ushahidi wengine ni waliotekwa na kufichwa soon wataachiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Barua : kutokana na vurugu za chadema yafukuzwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika (UDA Afrika)

    Barua hii hapa chadema wafungiwa umoja wa vyama vya kidemokrasia duniani tawi la Afrika USSR
  6. JamiiForums Tanzania Hizi tetesi za Lissu kujiondoa kugombea uenyekiti chadema zina ukweli?

    Kumekuwa na tetesi viungani kwamba Lissu kaamua "kurusha taulo" na anaomba refa amalize pambano, kulikoni? Kwamba anataka Wenje ajiondoe kugombea umakamu, na yeye ajiondoe kwenye uenyekiti arudi kwenye umakamu
  7. M

    JamiiForums Tanzania KISAIKOLOJIA, VITA VYA UENYEKITI CHADEMA NI UTHIBITISHO KUWA HAWANA TUMAINI LA KUSHINDA NAFASI YA URAIS KTK UCHAGUZI MKUU 2025. KINYUME CHAKE WANGEACH

    Siasa ni mchezo mchafu. Vita vya kiti cha Uenyekiti chadema kati ya chawa wa pande mbili ni vita vilivyotengezwa na Tiss. Wakiwatumia vijana wao kuna yeriko. Ni vita vya kupigania pesa za rushwa kutoka kwa chama mtaala. Wakati mbowe akiwatumia vijana wake akina wenje, yericko kupoza nguvu ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kupitia kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri CCM itaendelea kuwa chama dola kwa muda wa miaka mingi ijayo

    Ndugu wana JF, Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM. Kete muhimu za...
  9. JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  10. JamiiForums Tanzania Nimegundua ni upumbavu kuweka maisha yangu rehani tena kisa CHADEMA!

    Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kumbukumbu...yanayotokea kwa Chadema mwaka huu, yalitokea kwa CCM mwaka 1994!

    Mwaka 1994, wana CCM waliokuwa wakifaidika chini ya utawala wa Rais Mwinyi, kwa kuogopa mabadiliko, hawakutaka ang'atuke baada ya kumaliza kipindi chake. Kampeni kubwa ilifanywa ya kutaka Katiba ifanyiwe mabadiliko Mwinyi awe mgombea pekee kwa kuogopa nguvu na moto waliyokuwa nao wapinzani na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA BURE: CHADEMA MSIPUUZE MAONI YA WANANCHI

    Msipuuze maoni ya wananchi. Kuna yale ya moja kwa moja na haya yanayotolewa kwenye mitandao ya kijamii. Msikilizeni pia Baba wa Taifa kwenye hii clip.
  13. JamiiForums Tanzania Kipimo sahihi cha CHADEMA sio CCM

    Watu wanaoilinganisha CHADEMA na CCM wanakosea na wana uelewa duni wa siasa . Kimuundo au kiutendaji huwezi kuipima CHADEMA dhidi ya CCM, haifai kulinganisha hivi vyama kwa mambo hayo. Utofauti wa hivi vyama huko hivi CCM ni sawa na serikali au dola, ni vigumu kuchora mstari wa kutenganisha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Lissu juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA

    Habari mhe. Lissu, Pole sana na majukumu, na hongera kwa kazi zako nyingi za kisiasa ikiwemo maandalizi ya uchaguzi wa mwenyekiti na jitihada za uchaguzi na jitihada kuelimisha umma juu ya haki zao mbalimbali. Ninaandika haya ili kukushauri mambo mawili matatu, ambayo ukiyatafakari unaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ni mwanachama wa CHADEMA?

    Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema. Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi. Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU. Swali . Jee...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kibatala kujitoa kusimamia kesi zihusuzo CHADEMA

    Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa. "....Kibatala anafikiria...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanaharakati Odero Charles Odero ajitosa kuwania nafasi ya Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Wakuu, Uchaguzi huko CHADEMA umeendelea kupamba moto, watu wameendelea kujitikeza kutia nia. Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Odero Charles Odero anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya Taifa kesho, Jumatatu, Desemba 23, 2024 katika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama. Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
  20. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA yanadhihirisha kwa nini wananchi walichagua kubaki na chama kimoja

    Watanzania waliwahi kuhojiwa rasmi juu ya mfumo wa vyama vingi au kimoja. Majibu yao yalikuwa wazi na ya moja kwa moja kwamba wangependa kubaki na mfumo wa chama kimoja. Mwalimu Nyerere aliona ni vyema kukataa maoni hayo kutokana na mashinikizo ya mabepari. Lakini uhalisia wa mambo unaendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…