chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Kutoka uchaguzi wa kidemokrasia hadi mapindizu yasiyo ya kumwaga damu CHADEMA

    Mchakato uchaguzi wa kidemokrasia huishia na makabidhiano ya mamlaka, madaraka na ofisi. Leo Lissu kaingia ofisini na mtangulizi wake Mbowe hakuwepo kumkabidhi mamlaka, madaraka na ofisi. Hii inafanya uchaguzi wao kuwa mapinduzi https://www.youtube.com/watch?v=sg4irUqemHs
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini Ngoja...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameiteka Media na habari zao ndio zinauza kwa sasa, CCM tusipokuwa wajanja hali hii itaendelea hadi Oktoba

    Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano Leo Mkutano...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hawajajipanga na uchaguzi, njia pekee ya kukwepa aibu ni kugomea uchaguzi

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi. Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale...
  5. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nasaha kwa Chama changu cha Mapinduzi (CCM)

    Kufuatia kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Ndugu Tundu Lissu ya '𝑡𝒐 π‘Ήπ’†π’‡π’π’“π’Ž, 𝑡𝒐 π‘¬π’π’†π’„π’•π’Šπ’π’' kumekuwa na 'reactions' nyingi kutoka kwa viongozi mbalimbali, matawi na taasisi mbalimbali za CCM wote wakijibu Kauli ya 'No Reform No Election.' Kutokana na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya Taifa uliteka watu wengi vile?

    Uchaguzi wa viongozi wa CHADEMA Taifa uliteka watu wengi mithili ya uchaguzi Mkuu wa Nchi. Uliteka kuanzia vijana, wazee, akina baba, akina mama, Watanzania wote pamoja na watu wa mataifa mbalimbali. Usiku ule watu wengi hawakulala wakisubiri matokeo yatangazwe. Hata mimi nilikesha nikifuatilia...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa CHADEMA Mikocheni umezuiliwa ila chawa wamekata keki feri karibu kabisa na Ikulu, hii tunaiitaje?

    Wakuu, Polisi walivamia ofisi za CHADEMA mapema leo asubuhi na kuzuia mkutano huo kufanyika wakisema wataleta usumbufu wakati mkutano wa nishati unaendelea, na kwamba wanatakiwa kughairisha. Mkutano ambao ungekuwa na waandishi wa habari tu kurusha tukio hilo, tena mbali kabisa na Posta ambako...
  8. JamiiForums Tanzania Unaamka asubuhi hakuna maji,sekunde kadhaa unaambiwa ukamkamate mtu kwakuwa ameandika mtandaoni kuwa mtaa wake hauna maji. Ni kazi yako unibidi utii

    Najua wenyewe hawapendi. Ni kazi tu za order. Uzi tayari
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la polisi kuzuia waandishi wahabari na wanasiasa kuzungumza ni ukiukwaji wa uhuru wa vyombo vya habari, kujielezea na demokrasia

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuzuia waandishi wa habari kutozungumza na wanasiasa huu ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, vyombo vya habari na ni uvunjifu wa demokrasia na sio maelekezo ya katiba ya nchi ni uhalifu wa kutumia silaha. Waziri wa Ulinzi na kamanda mkuu wa jeshi la polisi...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA Ushindi upo Karibu kwa Jina la Yesu Kristo

    Napenda kusema ya kwamba ushindi wa CHADEMA dhidi ya uharamia wa CCM unakaribia. Ni muda mrefu CCM wamefanya machukizo dhidi ya CHADEMA ila Mungu amekaa kimya. Sasa mwaka huu Mungu atajifunua hadharani na kila mwenye Nia ovu dhidi ya CHADEMA atawekwa wazi na Hila zake zitashindwa. CCM imemwaga...
  11. JamiiForums Tanzania Bado CHADEMA inatawala medani za siasa Tanganyika

    Hatukupoa, hatupoi na moto ni uleule Hakuna nguvu yoyote kubwa inayotumika.. Ni asili imeamua kuchukua mkondo wake.. Imagine hata makada maarufu wa mbogamboga wametekwa bila hiari na CHADEMA.. Kutwa kucha ni CHADEMA midomoni na akilini mwao CCM ni kama kama mgonjwa aliye chumba cha mahututi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Matembezi ya mshikamano CHADEMA mikoa yote.

    Matembezi haya yenye lengo la kukiimarisha chama na kuleta umoja kati ya Wanachama na makundi mbalimbali ndani ya CHADEMA. Lengo pia ni kuunga mkono demokrasia ndani ya chama na kusapoti msimamo wa CHADEMA kuhusu katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Matembezi hayo yafanyike kila mkoa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu Maria Sarungi anatoa maagizo haya kwa wanachama, yeye ana cheo gani uko CHADEMA?

    Maria Sarungi ni nani ndani ya Chadema mpaka awapangie watu
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Lissu atafanya vipi kazi na viongozi wenzake aliowatangaza ni watoa rushwa?

    Okay, Lissu ameshinda furaha ni kubwa kwa supporters wake lakini kwa wapinzani wake ni msiba mzito. Ni msiba sio kwa kuwa tu wamepoteza nguvu kwenye chama na Mbowe kashindwa, ila msiba mzito ni wao kusemwa vibaya wakati wa kampeni. Lissu alisema wazi chaguzi za kanda na mikoa zilijaa rushwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Reginald Munisi awapa mkono wa kwaheri CHADEMA, baada ya utumishi wake wa miaka 10 katika Sekretarieti ya chama

    Tunaweza kusema kama Timu Mbowe wameanza kujichekecha kimtindo baada ya Lissu kuchukua nafasi hiyo ya uwenyekiti wa CHADEMA =================== Baada ya miaka 10 ya ajabu nikihudumu katika Sekretarieti ya chama cha CHADEMA, moyo wangu umejaa shukrani na furaha. Nimekuwa shahidi wa wenzangu...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu za kiusalama siyo Sahihi Mnyika wa CHADEMA kufanya Press Kesho wakati Nchi ina ugeni mkubwa wa Marais wa Africa. Wageni Wanaweza kuogopa!

    Nashauri Msajili wa Vyama Vya siasa Mh Jaji Mutungi kumzuia katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika Kufanya mkutano wa waandishi wa Habari Kesho Press ya Chadema ifanyike baada ya wageni kuondoka Ikumbukwe Chadema ni Chama kikuu Cha upinzani na haijulikani Kesho wamepanga kuongea nini hali inayoweza...
  17. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Wale wote ambao hawataki kuponywa majeraha ya uchaguzi ni vyema wakafunguliwa mlango wa kutokea

    Haya ni maoni yangu binafsi, kuna watu walipanga kumumaliza kisiasa kabisa Lissu ,bahati nzuri kwake kwa nguvu ya umma akaibuka kidedea. Hata huyo Mbowe mnayemsifia ukifuatilia interviews zake zote kabla ya uchaguzi alijawa na kisasi dhidi ya Lissu. Sasa uchaguzi umeisha ila kuna watu kama...
  18. JamiiForums Tanzania Lema, kila siku unasema Land Cruiser V8 unaweza kujenga madarasa mengi leo unataka raia wachange wamnunulie Mbowe Gari Toyota Land Cruiser V8

    Wanaukumbi. Kauli ya Lema kuwa wamnunulie Mbowe gari kama zawadi kumuaga ni kauli ya hovyo na mawazo haya ni ya kipuuzi sana kuwahi kusikika duniani.. Yaani ikifikia kumnunulia gari Mbowe basi ghafla hamuwezi kubadilisha hela za kununua gari kuwa zinatosha kujenga madarasa au vipi? Watanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka Tundu Lissu Ashindwe ili Ajirudi, Atubu na Aseme Ukweli

    Hii najua haitawapendeza wengi wanaotaka mabadiliko katika nchi yetu. Lakini siasa za uzandiki, fitina, Majungu na kuchafuana mimi sio muumini wake.. toka kipindi Lowassa anaitwa Fisadi, hizi ni siasa chafu na watu wenye nia njema na taifa letu hawatakiwi kuzifumbia macho. Tanzania kuna...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CHADEMA anzisheni Trust Fund

    Hii Chadema ya Lissu ni tofauti sana na Chadema ya Mbowe hasa kwenye njia za kupata pesa. Lissu na team yake wanataka Chadema iwe ya kisasa pamoja na mengi ushauri wangu ni huu Fungueni Chadema Trust Fund ambayo iwe na account yake maalumu ya uwekezaji nashauri pale UTT. Hii trust fund...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…