chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

    Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu: Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao. Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

    Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv. wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na Odero Odero. Freeman Mbowe hatahudhuria mdahalo huo kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wake...
  3. JamiiForums Tanzania Maswali ni mengi Watanzania tunajiuliza kuhusu CHADEMA

    1.hiki chama hakina wazee wakutuliza hizi vurugu? 2.kuna kundi litasusa.je,hili kundi litaanzisha chama kipya au litasujudia vyama vingine ili wapokelewe? 3.Baada ya uchaguzi,kundi lililoshindwa kama hawatahama chama, kuna kuaminiana tena?...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA baada ya Uchaguzi Ni Kugawana Fito

    Wakuu Chama Kikuu cha Upinzani kinaendelea Kupoteza Credibility yake Na Reputation yake kiliyo ijenga Kwa zaidi ya Miaka 30, Just within three months tumeshuhudia Mambo ya Ovyo sana yakisemwa juu ya Chama Hichi ambacho Tuliamini wakati fulani Kinaweza Kushika Hatamu za Uongozi nchi Hii, Kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ufisadi wa kutisha ndani ya CHADEMA: Namba ya simu iliyokuwa ikitumika kukusanya pesa za “Join the Chain” siyo ya Chama!

    Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika wazi hiki chama kuwa ndani yake kuna mijizi kwelikweli. Leo katika press conference ya Lema...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo silielewi uchaguzi huu wa CHADEMA

    Haki ya Kugombea imetolewa kwa Kila aliye na nia. Nafasi ya uenyekiti kwa mfano, Kila aliyeweka nia amepewa fomu na atagombea kutafuta kura za wanachama. Sasa hili shinikizo la Mbowe jitoe, Mbowe hutoshi, Mbowe hutakiwi, Mbowe muachie Fulani LINATOKA WAPI? Kama wote wamegombea, na maamuzi ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mbowe: Mwenye ushahidi wa Rushwa CHADEMA alete, hakuna aliye msafi kama Mtume

    Wakuu "Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli" "Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Tulishauri, tukatoa tahadhari na tukaonya lakini kama walivosema wahenga, sikio la kufa halisikii dawa!

    Inashangaza, inasikitisha na inaudhi kuwa pamoja na kushauri, kuonya na kutoa tahadhari kwa nia njema kabisa kuhusu mustakhabali wa taifa hatukusikilizwa...tulipuuzwa! Najitokeza tena kumshauri Mh. F. A. Mobwe kuwa leo hii na bila kuchelewa achukue maamuzi mazito kuliko yote aliyowahi kuchukua...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Kama hauwezi control the "Mob" (Wafuasi) Badi control narrative "mitazamo

    Kwenye Siasa ya dunia ya Leo mbinu zakivita za kukufikisha ikulu ni muhimu. Tumeshuhudia ulimwenguni kumekua na ushindi Kwa vyama vya Conservative vikiingia madarakani wakatiiqmbapo vyama tawqla havikuwahi kutarajia. Kama CHADEMA Unataka kuingia madarakani inapaswa zingatia haya matatu. 1...
  10. JamiiForums Tanzania Iwapo Lissu atashinda Uchaguzi, Makao Makuu ya CHADEMA yatahamishiwa Ubelgiji?

    Utangulizi Katika kipindi ambacho Tanzania inajiandaa kwa uchaguzi, mawazo na hisia mbalimbali zinatawala miongoni mwa wafuasi wa vyama vya siasa. Miongoni mwa wagombea wanaotajwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ni Freeman Mbowe na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
  11. JamiiForums Tanzania Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamefanya mpaka maigizo ya kaole lakini bado mkutano wao umedoda! Watanzania wako bize na CHADEMA

    Wakuu, Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA. Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la maana kwa sasa. :BearLaugh: :KEKLaugh: Hilo limebuma eti mnaigiza kama bongo movie kujipa umuhimu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Lissu na Mbowe wametusaidia kupata hoja za kuipiga CHADEMA

    Wakuu Kumbe na wao wamenogewa na show za FAM vs TAL 😂 == Mbunge wa Ubungo na Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amefichua kuwa mtifuano wa Tundu Lissu na Freeman Mbowe kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi wa Uenyekiti CHADEMA umewasaidia kupata hoja za kuwapigia Soma: Kitila...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM na nyie mnalo la kujifunza kwa CHADEMA, muache ule utaratibu wenu wa kutoa fomu moja ya urais, CHADEMA katika hili nawapongeza!

    CHADEMA kwa sasa wapo kwenye kinyang'anyiro kikali cha kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama kati ya Mbowe na Lisu hiyo ndio demokrasia sio kuwatishia watu wasichukue fomu kwenye baadhi ya nafasi iyo sio sawa kidemokrasia! Kama mgombea anajiamini aache apate challenge kutoka kwa washindani wake...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Lema awe katibu CHADEMA? Mnachekesha sana

    Imagine kipindi kama hichi cha CHADEMA LEMA ni katibu mkuu halafu anakutana na mshindo kama huu. Lema angalau angaliweza kusimamia uchaguzi? Siri zote za chama angalizipost katika social media kuwakomoa wapinzani wake. Eti Lissu akishinda Lema awe katibu mkuu..mumewaza Nini?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  17. JamiiForums Tanzania UCHAGUZI CHADEMA: Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe

    === Ni maajabu ya kampeni za CHADEMA mgombea Wenje anamshambulia Lemma asiyemgombe. Kwaakili hii Mbowe na Wenje wameshashindwa huu Uchaguzi Kwa lugha nyepesi Heche na Lissu hawajapewa tuhuma yoyote hivyo ni watu safi wachaguliwe.
  18. JamiiForums Tanzania Enyi wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA sikilizeni sauti za wananchi. Nendeni mkaandike historia mpya ya demokrasia

    Msithubutu kabisa kumchagua Freeman Aikael Mbowe kwani mtakuwa mmetangaza hadharani ushirika wenu na ccm kwa njia moja au nyingine. Freeman Aikael Mbowe anapaswa kupingwa kila mahali na watu wote wenye mapenzi mema na uhai wa demokrasia ya kweli nchini. Freeman Mbowe hata lugha zake tu zina...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  20. JamiiForums Tanzania CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

    Kusema ukweli, CCM ya Makala iko hoi. Haina kabisa ubunifu, Imenunua magali mengi na kutengeneza misafara mirefu na foleni zisizo namaana lakini mitandaoni ni CHADEMA tupu. Wana CCM wanahoji, kulikoni huko CCM iko kama hina uchaguzi?. Kwani Makala hawezi achia ngazi ili chama kipone?. Aingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…