chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar atangaza msimamo wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimesema bila mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi nchini, hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mzee Miraji amesema hawatakubali kuwa na sheria mbovu za uchaguzi na haiwezekani wakurugenzi...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Sikonge: Watakaoihujumu "No reforms No election" hawatavumiliwa

    Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, Felix Liata, ameendelea kusisitiza msimamo wa chama hicho wa kutoshiriki uchaguzi bila kufanyika kwa mageuzi ya kisiasa na kisheria, akiwataka wanachama na viongozi kusimama pamoja katika msimamo huo...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: CHADEMA msije na azimio linalokiuka sheria za nchi yetu

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Chama na serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho, juzi. Amesema...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CHADEMA Urais mtauona kwenye Runinga pekee

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, ameikaribisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika uchaguzi lakini ameipa angalizo kuwa isitatarajie kuambulia chochote katika nafasi ya urais. Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: CHADEMA wapo honeymoon

    Honeymoon si mnaijua? 😁😁😁 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema Chama na Serikali yake haitakubaliana na azimio lolote litakalotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kukutana kwa faragha kama walivyotangaza viongozi wa chama hicho...
  6. JamiiForums Tanzania Chadema wakisusa sisi twala

    No reform no election ni sawa na kumpiga chura teke. Chama cha Dovutwa, CUF, TLP na vingine vitawakilisha uchaguzi wa vyama vingi, fikirieni upya. Kama watasusa CCM watapita bila kupita na kugeuka hasira za mkizi furaha kwa mvuvi. Hakuna varangati linaloweza kuzuia uchaguzi usifanyike.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Chama siyo Idadi ya Wanachama wala wingi wa Mali Bali kuwa na Hazina ya Fikra Vichwani mwa Viongozi, Je CHADEMA ni Chama kikubwa?

    Ili uelewe vizuri iangalie ACT Wazalendo inayounda Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina Wanachama wangapi na vitega Uchumi gani? Ukubwa wa Chama Cha siasa ni Hazina ya Fikra vichwani mwa Viongozi na akilini mwa Wanachama Nimefurahia yale Mapokezi ya Tundu Lisu pale Mahakama Kuu lakini zaidi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu? Na uongozi wa chadema

    Kwanini mnawakataa Halima mdee na kundi lake lkn wakati huo huo mnamkubali Dr Slaa. Au kwa sababu Dr slaa amepingana na mbowe ktk kampeni za uchaguzi wa ndani ndio mnamuona ndio anafaa kurudishwa chadema?
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaanza kufungua Matawi mbalimbali Zanzibar

    Zaidi soma hapa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA yatoa mapendekezo makubwa matatu kwa Serikali ya Tanzania ili kukabili uamuzi wa Trump wa kusitisha misaada

    CHADEMA imetoa mapendekezo matatu kwa serikali kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani,Donald Trump kusitisha misaada kwa sekta ya afya. Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na Maendeleo ya Jamii ya Bunge la Wananchi CHADEMA, Ashura Masoud, lazima hatua zifuatazo zichukuliwe kukabili mabadiliko hayo. 1...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamba: CHADEMA inapandikiza chuki kwa vijana na wazee kwa maslai yao binafsi

    Mjumbe Wa Mkutano Mkuu Wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Mrisho Kamba amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) kinajaribu kueneza na kupandikiza chuki kati ya vijana na wazee kwa maslahi yao binafsi. β€œCCM ni chama kinachoamini katika mshikamano wa vizazi vyote”- Mrisho Kamba amesema maneno...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA sijui mnafeli wapi? Mnashindwa Nini kununua vifaa vya wajawazito na kuwagawia akina mama bure

    CHADEMA mnafeli padogo sana katika harakati zenu za kisiasa mnadhani kwamba mkiikaba serikali ndio mtafanikiwa serikali Inanguvu sana hamuna uwezo wa kushindana nayo Hivi nyinyi ni wanasiasa gani ambao hamjui kiboko ya serikali ni wananchi tena ni wale wananchi wa Hali ya chini na katika hao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu alikuwa na wagombea wake uchaguzi CHADEMA? Huu ndio ubaguzi aliompinga Mbowe?

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa BAWACHA. Kama unataka na wewe, au mwanamke mwenzako anayefaa nae apate fursa za uongozi bungeni au kwenye udiwani miaka ijayo, nakushauri upige kura ya mabadiliko kwenye Uchaguzi wa BAWACHA kesho na Uchaguzi Mkuu wa chama tarehe 21 Januari. Ni kura ya mabadiliko pekee...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ngurumo amtahadhariha Lissu na sifa za wapambe (wabangaizaji), atolea mifano ya Mrema, Kikwete na Magufuli. Tusitishane, tuvumiliane

    Amesema TUSITISHANE, TUVUMILIANE. TUEPUKE MACHAWA NA WAPAMBE NA WABANBAIZAJI.
  16. JamiiForums Tanzania Kutoka uchaguzi wa kidemokrasia hadi mapindizu yasiyo ya kumwaga damu CHADEMA

    Mchakato uchaguzi wa kidemokrasia huishia na makabidhiano ya mamlaka, madaraka na ofisi. Leo Lissu kaingia ofisini na mtangulizi wake Mbowe hakuwepo kumkabidhi mamlaka, madaraka na ofisi. Hii inafanya uchaguzi wao kuwa mapinduzi https://www.youtube.com/watch?v=sg4irUqemHs
  17. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, John Heche na viongozi wengine wapokelewa Ofisi za CHADEMA Makao Makuu. Wasisitizia No Reform, No Election

    Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu na makamu wake Mh John Heche wakiwa rasmi ofisini Ngoja...
  18. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wameiteka Media na habari zao ndio zinauza kwa sasa, CCM tusipokuwa wajanja hali hii itaendelea hadi Oktoba

    Kuna ujanja fulani unafanywa na CHADEMA Ili waendelee kutrend hata baada ya uchaguzi wao Kwa mfano mwanzoni tu mwa Mkutano wa Nishati wa Dunia Katibu mkuu wa CHADEMA Mhe. mnyika akaitisha Press, Watu wakaanza kumjadili Mnyika na CHADEMA badala ya Kufuatilia Mjadala wa mkutano Leo Mkutano...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hawajajipanga na uchaguzi, njia pekee ya kukwepa aibu ni kugomea uchaguzi

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi. Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale...
  20. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nasaha kwa Chama changu cha Mapinduzi (CCM)

    Kufuatia kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Ndugu Tundu Lissu ya '𝑡𝒐 π‘Ήπ’†π’‡π’π’“π’Ž, 𝑡𝒐 π‘¬π’π’†π’„π’•π’Šπ’π’' kumekuwa na 'reactions' nyingi kutoka kwa viongozi mbalimbali, matawi na taasisi mbalimbali za CCM wote wakijibu Kauli ya 'No Reform No Election.' Kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…