chadema zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wachukueni Viongozi 16 waliojiuzulu CUF. Itawaongezea nguvu Zanzibar. Naona wanaeleaelea hawajui waende wapi

    Viongozi 15 wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar wameisusa CUF tangu Jumapil, Juni 28, 2026, wametangaza kujiuzulu kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutoridhishwa na uongozi wa sasa. Nawashauri CHADEMA wafanye usajili haraka sana... Chadema inahitaji watu. Akizungumza kwa niaba ya viongozi 15...
Back
Top Bottom