The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 ameeleza kuwa kesi ya mgawanyo wa mali aliyoifungua ina baraka zote za viongozi wa CHADEMA Zanzibar, kwani anachokipigania na wao ndicho wanapitia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar kimekanusha madai yaliyotolewa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho visiwani humo, Said Mohamed, kwamba amefungua kesi kwa niaba ya chama kuhusiana na mgawanyo wa mali.
Kupitia taarifa yake kwa umma, CHADEMA Zanzibar kimesema...
Kufuatia madai ya aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mohamed, kwamba amefungua kesi kwa niaba ya chama hicho kuhusu mgawanyo wa mali, CHADEMA Zanzibar imesema kesi hiyo ni yake binafsi pamoja na watu wanaomshawishi au kumtuma.
Chama hicho kimefafanua kuwa Said Mohamed...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kwamba kesho, Jumatatu tarehe 29 Septemba 2025, shauri lililofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Zanzibar Saidi Issa Mohamed na wenzake 2 dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chadema na Katibu Mkuu itaendelea Mahakama Kuu...
Tamko
https://www.youtube.com/live/zTiG8A6xBUk?si=0TkwcRajP0kn483k
Tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Unguja Kuhusu Msimamo wa Kususia uchaguzi Bila Mageuzi na Tahadhari za Madhara ya Uchaguzi wa 2020.
Wananchi wa Zanzibar na Watanzania wenzangu,
Mimi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya...
Leo Chadema Zanzibar imefanya press nzuri sana na unaonyesha matimaini makubwa sana. Wameongea issue za msingi sana na huu ni mwanzo mzuri.
Miaka yote tumekuwa tunashangaa kwanini CHADEMA Zanzibar kama haipo vile, kumbe Mwalimu na yule jamaa makamu aliye fungua kesi dhidi ya chadema walikuwa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, kimesema hakina nia ya kususia uchaguzi mkuu 2025, bali kinataka mabadiliko ya mifumo wa uchaguzi ndio uchaguzi ufanyike kwa misingi ya haki kwa washiriki wote.
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Ali Ibrahim Juma, ameyasema hayo jana Visiwani...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimekanusha madai yaliyotolewa na baadhi ya waliokuwa wanachama na viongozi wa chama hicho, ambao hivi karibuni walitangaza kujiondoa, wakidai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo na kinakosa stahiki za uendeshaji wa kimamlaka kwa upande wa...
"Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahim Juma na wengine 10 wakiwemo waandishi wanne walikuwa wamekamatwa mapema leo wameachiwa maeneo ya pori la Mabwepande, Kawe wakiwa wamepigwa na kuumizwa sana na Jeshi la Polisi.
Wameumizwa sana na sasa...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo kuhusu ajenda ya No reforms No election.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar kimesema bila mabadiliko ya sheria na mifumo ya uchaguzi nchini, hakutakuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka huu.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Zanzibar, Said Mzee Miraji amesema hawatakubali kuwa na sheria mbovu za uchaguzi na haiwezekani wakurugenzi...
Wakuu,
Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho
Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50%
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.