The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.
Kitakuwa chama changu cha kwanza kujiunga.
Naipenda nchi yangu. Nahitaji kuwa na watu ambao wapo kwa ajili ya maslahi ya umma.
Sio watu kama Freeman Mbowe ambae alijali tumbo lake kuliko maslahi ya umma.
Nitawajulisha na kufanya press conference
Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu.
Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala vyombo vya usalama na majeshi. Ibara ya 8(1)(a) imetanabaisha wazi . Wananchi ndio wana mamlaka ya...
Hakuna upinzani madhubuti zaidi ya waigizaji waliopewa mashangingi yaliyopatikana kwa kodi za wananchi.
CCM inatapatapa vikao vya ndani kuomba viongozi wa dini wasaidie kuomba kura
Vikao vya ndani vya WanaCCM kwa wanaCCM...
Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu.
Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu.
Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
Taifa linahitaji katiba ambayo mkuu wa jeshi hata kama akiteuliwa na raisi kama Amiri jeshi mkuu aweze kushtKiwa na kuwajibishwa kisheria.
Jaji mkuu aombe nafasi hiyo kama anaomba ajira. Ili akiajiriwa asiwe na upendeleo. Sio kuteuliwa na kupendelea aliyemteua. Watu wanapigwa mahakamani. Jaji...
Wengi wameshajulikana na wengi wao wameshahamia CHAUMMA. Tumeshapata tetesi ni wasaliti na ndio hao walirekodi hiyo clip na kuisambaza.
Lakini swali la msingi tujiulize kama kukinukisha ilikuwa ni kutoshiriki uchaguzi na kuitisha maandamano ya amani yasiyo na kikomo?
Mbona kama shujaa anateswa...
Chadema kimejijenga kwenye misingi ya matusi, chadema wanaamini wanapata wafuasi kupitia matusi siasa za kibangi bangi kitu ambacho siyo, viongozi wao wameshindwa kabisa kudhibiti matusi bila kujua kuwa matusi huondoa heshima kwa mtu au taasisi.
Leo hii CHADEMA imefutika kwenye ulingo wa siasa...
Wanachopambania CHADEMA ya Lissu ni maslahi ya taifa letu.
Kwamba kuwe na katiba ambayo itatoa haki kwa Watanzania kuwa na viongozi ambao wao wanaona wanafaa kuwawakilisha.
Maana yake ni kutokuwa na Bunge amabalo litakuwa kama wakala serikali ambayo haina tija kwa wananchi.
Wao, wanaCCM...
Kwa haraka kama unapenda ushabiki unaweza kudhania ni watu wanaopenda kukinzana bila sababu ya msingi.
Ni watu ambao kwao siasa sio biashara. Hawako tayari kunywa kahawa za Ikulu huku rasilimali za umma haziwanufaishi wanannchi.
Wanatataka taifa la Tanzania liwe na Katiba ambayo italinda...
No Reforms No Election ya Ndugu Tundu Antipas Lissu imejiziika RASMI leo kwani hata Serikali ya awamu ya Sita ikileta Reforms nzuri kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani 2025,ni RASMI kuwa Chadema hawawezi kushiriki Uchaguzi Mkuu wowote wa INEC mpaka mwaka 2030
Tume ya Huru ya...
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
Nini kimeifanya hii CHADEMA ya Lissu kuwa ya baridi hivi?
Hatusikii kama Kuna Chama cha upinzani
Binafsi sikutaka Mbowe awe Mwenyekiti wa Chama ila Sasa nimeanza kuamini kuwa Mbowe alikuwa master wa siasa za harakati
1. CCM wameamua kuwanyima Chadema agenda
Kwa Sasa utekaji umepungua na...
Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya...
Wakati wa Mbowe vijana wengi walivuma, hoja zao kuipinga CCM katika mitandao ya kijamii ikiwavutia wengi sana hata wanaCCM wenyewe.
Wakisimama juu ya majukwaa vijana wengi wakivutiwa.
Hivi sasa CHADEMA wanaosikilikana
1. Heche
2. Lissu
3. Lema
4. Amani
Kijana pekee anaesikilikana ni...
Jinsi ya uchaguzi wa Chadema ulivyoendeshwa kwa propaganda na kumbamiza Mwenyekiti wa zamani.
Hawa nimewachukia kweli kweli ktk siasa
1. Lema
2. Lissu
3. Heche
Sikutegemea ktk siasa za ndani ya chama kutumia njia ile ya uzushi kwa kila aliekuwa anampinga LISUU na team yake.
Naomba mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.