Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu...
Mchambuzi wa siasa na mwanasiasa mkongwe Said Miraj amesema kuna athari kubwa sana kwa chama cha upinzani CHADEMA kususia Uchaguzi Mkuu ujao, akitaja mifano kadhaa ya makosa kama hayo yaliyowahi kufanywa na chama chake cha zamani, CUF.
“Ni Uchaguzi wenye sura tofauti. Chaguzi nyingi zilizopita...
Luhaga Mpina alikuwa na mpango kuhamia chadema akagombee Ubunge huko. Hata hivyo kitendo cha chadema kugomea uchaguzi kimemvuruga.
Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa amerudisha majeshi CCM na kuanza...
Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3.
1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu.
Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
Afisa uchaguzi jimbo la Iringa mjini, Bernard Mwaituka, akitolea ufafanuzi kwa njia ya simu kupitia kipindi cha Kiyoyozi cha Nuru FM juu ya madai yaliyotolewa na CHADEMA kuhusu hujuma zilizojitokeza katika suala zima la upigaji kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana 27 Novemba 2024...
Kwanza Mimi siwezi kuuita uchaguzi wa serikali za mitaa kama hauna mandatory ya kisheria juu ya wasimamizi. Ni mpumbavu pekee atatetea Tamisemi kusimamia uchaguzi ingawa hakuna uwazi na mkuu wake akiwa mwanachama wa CCM. Waziri wa TAMISEMI ni mwanachama wa CCM na kwa Sheria za ushindani na uwazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.