Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetetea hatua ya Mbunge wake jimbo la Ndanda Cecil Mwambe kuingia na ilani Ya Chama cha Mapinduzi bungeni kwa kile ilichokisema ni jambo la kawaida.
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje CHADEMA, John Mrema amewataka watu wasishangae...