ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Sherehe ni za Mei mosi au kampeni za uchaguzi

    Natamani nijue sherehe za Mei mos katika mataifa mengine nilinganishe na mei mosi ya Tanzania Kila sentensi ni kumsifu na kumuabudu Mama Samia na kauli za Mitano tena Nikafikiri sherehe ni sehemu ya kusifia wafanyakazi wanavyofanya kazi kwa maendeleo ya Taifa na kuzungumzia changamoto za...
  2. JamiiForums Tanzania Tahadhari: CCM na viongozi wake mnajihatarisha kwa namna hii

    Kuna matukio ya uwizi wa kura, ufisadi wa mali za nchi, mikataba ya hovyo kuhusu rasilimali za nchi mfano bandari, misitu n.k Kufukuza Masai katika ardhi yao ya asili, kupanda kwa gharama za maisha na aina nyingine ya maovu mengi yanayofanywa viongozi wa serikali, chama tawala, taasisi za...
  3. JamiiForums Tanzania Mioyo ya wana Singida inavuja Damu halafu Kwa zarau Mnawapelekea sikukuu ya mei mosi CCM Mmelaaniwa.

    Kweli CCM Wamechanganyikiwa. 1. Tundu.Lissu yuko Mahubusu.kqa kesi za uongo aliteswa kwa kupigwa risasi 16 2.Charles Kitima Kashambuliwa hali ni mbaya. Wote hawa ni watoto Wa singida halafu CCM inapeleka sherehe huko ama kweli ujinga ni kipaji. Mpaka.Uchaguzi mkuu ufike Tutashuhudia Mengi.
  4. JamiiForums Tanzania Wakatoliki Tanzania kwa Uwingi na Ushawishi wao wakiamua Samia na CCM yake ianguke Madarakani ni jambo la muda mfupi tu

    Hata CCM na Samia wake wakisema Waungane na Walutheri, Waanglikana, Wasabato, Walokole (TAG) na Waislamu Shia na Simu bado hawatatimia Idadi Kubwa ya Wakatoliki waliopo nchini Tanzania. Na wenye Akili tunajua kuwa Tanzania Kihistoria ipo chini ya Himaya ya Katoliki (Vatican) hasa Kimaamuzi na...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Porojo za CCM: Wanamdanganya nani?

    Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Biteko: CCM imefanya kazi mpaka ikapitiliza kile ilichoahidi

    "Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkataba wake na wananchi mpaka kufika mwaka 2025 haikuwa (kufikisha umeme kwenye) vitongoji, ilikuwa vijiji tu, vijiji imemaliza kabla ya wakati, na kabla ya wakati imehamia vitongojini na vitongoji 64,033 vyote vina umeme, yaani kwa maneno mengine CCM imefanya kazi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Serikali na CCM! Kwanini wananchi hawatakiwi kuvaa tisheti kwenye Mkutano na Rais au Waziri Mkuu?

    Salaam Wakuu, Hii imenishangaza na kunistaajabisha sana! Watu waliokuwa wanapokea wageni (ushers) wale ambao walivaa tisheti waliambiwa wakabadilishe au watoke hapo! Inanishangaza sana! Ndio nikajuzwa kwenye mkutano wowote na Rais au Waziri Mkuu ukiacha zile za majimboni hutakiwi kuvaa tisheti...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge 19 Machachari wa CHADEMA kupokelewa CCM Mei Mosi

    Waheshimiwa wabunge 19 Machachari toka CHADEMA watakaribishwa rasmi CCM siku ya Mei Mosi akiwemo Nusrat Hanje (Mrs Kitenge) anayewania ubunge Jimbo mojawapo Mkoani Singida.
  9. JamiiForums Tanzania "CCM Imepigwa COPY". Jee Ndio Sababu ya Polepole Kufichwa Cuba anyamaze?

    Ukimsikiliza kwa utuo kada huyu mwaminifu kwa CCM utauona ukweli kuwa chama hicho ambacho kwa sasa tunasema "kinaongozwa" na Mhe.Samia Suluhu kimepigwa kopi na sio kile chenye misingi ya awali na uongozi haupo tena kwenye "nakala halisi" bali uko chini ya copy na hatujui hiyo copy nani...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Songwe: CCM yatoa onyo kwa UVCCM na Mbunge wa Momba

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimewaonya Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Momba pamoja na Mbunge wa Jimbo la Momba, Kondesta Sichalwe kutokana na mvutano ulioibuka kati yao hivi karibuni katika mkutano. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachuo na Wakufunzi kutoka Marekani waitembelea CCM kupata ufahamu juu ya masuala ya Demokrasia na Sera

    Wanachuo na Wakufunzi wao kutoka Chuo Kikuu Cha Whitworth cha Marekani leo wametembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Abdalla Hamid Pamoja na mambo mengine, Wanachuo hao wanaosoma...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CPA Amos Makalla: CCM itafanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CCM CPA Amos Makalla akieleza namna chama hicho tawala nchini kilivyojipanga kufanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtemvu: Vijana tumie Mitandao ya Kijamii kwa Maendeleo, Si Maudhui Yasiyo na Tija kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Abasi Mtemvu amewataka Vijana nchini kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kujenga jamii na kuchochea maendeleo badala ya kujiingiza katika utengenezaji wa maudhui yasiyo na tija katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Kupata...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Sophia Mwakagenda aitema CHADEMA, Ajiunga rasmi na CCM

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagenda, ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), akisema uamuzi huo unalenga kuendeleza jitihada zake za kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi. Akizungumza mbele ya mamia ya wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali fanyeni maisha yetu yawe magumu, fanyeni watu wasio kuwa na ajira ,Ila msiguse tu Yanga na Simba

    Ikiuzwa hata nchi nzima ni poa tu, Graduate wakijaa mtaani watajua tu wenyewe, napo ni poa hakuna shida watajua mbele kwa mbele. Maisha yakiwa magumu, huduma za afya zikiwa hazieleweki hasa Hospitali za umma napo ni poa tu,make ni Mungu kapanga. Kikubwa Yanga na Simba zisiguswe kabisa hapo ni...
  16. JamiiForums Tanzania Unamshabikia Ibrahim Traore halafu unaipenda CCM. Unajidanganya!

    Wewe ni mwana CCM halafu unajifanya kumshabikia mwana umajumui wa Afrika Rais wa Bukinafaso Ibrahim Traore, wewe ni mzushi! Mwana CCM anayemshabikia Traore ni mzandiki!
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Atakayeshinda kwa haki atangazwe kuwa mshindi

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa marekebisho mengi yaliyofanywa katika sheria mbalimbali za kusimamia uchaguzi (mabadiliko ya sheria ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais; mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa; na mabadiliko ya sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi -INEC)...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kiungwana serikali na CCM na NEC wanapaswa kuwaomba radhi wananchi kwa kuchafua chaguzi za 2019, 2020, 2024. Kwa kuwa shahidi zipo

    Kama serikali yetu ingekuwa na chembe ya uungwana ilitakiwa itoke na kuomba radhi kwa madhila yaliyotokea kwenye zilizoitwa chaguzi katika miaka tajwa hapo juu. Na kwa ushahidi huo ilipaswa CCM Ione aibu ya kujisifia uongo kwamba wanashinda kwa kishindo badala yake walipaswa kufanya juu chini...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Wana CCM Uyole wapewa Mo Energy, Mama kafungua nchi

  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini neno HAKI limekuwa Gumu kutamkwa Midomoni mwa wana CCM?

    GT Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao. Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…