TURKY GROUP YACHANGIA TSH. MILIONI 600 HARAMBEE CCM GALA DINNER 2025
Turky Group of Companies (VIGOR) imechangia jumla ya Shilingi Milioni 600 katika Usiku wa harambee ya CCM Gala Dinner 2025 iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Klabu ya Yanga imechagia milioni 100 CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania amechangia kiasi cha shilingi milioni 100 za Kitanzania usiku wa CCM gala dinner 2025 katika harambee ya kuchangia bilion 100 kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na Urais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.