ccm dodoma

The Chama Cha Mapinduzi (CCM) presidential primaries, 2015 took place in July 2015 to determine CCM's nominee for the Presidency of Tanzania for the 2015 election. The Chama Cha Mapinduzi (Party of the Revolution) is the country's dominant ruling party, and the longest reigning ruling party in Africa.
Incumbent president and 2010 nominee Jakaya Kikwete is ineligible for re-election due to term limits. He is looking forward to his retirement, and has described the presidency as being both "stressful and thankless". Kikwete, who also serves as the party's National Chairman, said that he was not backing anyone as his preferred and chosen successor.
More than forty candidates (including 12 Cabinet Members) collected the nomination forms. On 12 July, Minister of Works John Magufuli was selected as the party's presidential nominee, and was most likely to win. He won the presidential election by 58.46%.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 CCM Dodoma: Hatuwasafirisha wananchi kwenye mabasi kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni, wanajitokeza kwa hiari yao

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma Jawadu Mohames amepinga madai ya baadhi ya wanasiasa na wanaharakati kwamba chama hicho kimekuwa kikiwabeba wananchi kwa mabasi na kuwapeleka kwenye mikutano ya kampeni ili kuonyesha idadi kubwa ya wafuasi. Jawadu amesema wananchi...
  2. GE2025 Wana CCM Dodoma wapinga uteuzi wa Mayala

    Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mvutano wa kisiasa umeibuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Mbabala, jijini Dodoma, baada ya baadhi ya makada wa chama hicho kuandamana hadi ofisi za CCM Wilaya wakieleza kutokuwa na imani na diwani mteule wa kata hiyo, Pascazia Mayala, wakidai...
  3. Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  4. Tetesi: GE2025 Watia nia ubunge waweka kambi makao makuu ya CCM Dodoma kulilia tatu bora

    Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge. Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao...
  5. PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  6. SI KWELI PreGE2025 Picha hii ni ya Gwajima kutoka mkutano mkuu wa CCM Dodoma Mei 29, 2025

  7. Ramani ya Makao Makuu Mapya ya CCM Dodoma ni Nzuri kuliko Majengo ya Wizara Pale Mji wa Serikali Mtumba

    Tuseme ukweli,Wabunifu majengo wa Serikali wametuangusha sana ,wamebuni majengo kama mabweni badala ya kuja na majengo yenye mvuto na kuwa si tuu ofisi za Watumishi Bali kivutio Cha Utalii wa Mji. Hongera sana CCM ya Samia, Jengo lenu linaendana na Hadhi ya Makao Makuu ya Nchi na chama...
  8. PreGE2025 Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi Makao Makuu ya CCM Dodoma Mei 28, 2025. https://www.youtube.com/live/IocFOWt2uqY?si=7h0fUD6dBWpUH3Nc
  9. Kumbukizi: Mwenyekiti wa CCM Dodoma, Kimbisa: Chama chetu kimeishiwa pumzi, haiwezekani tukaenda uchaguzi 2025 tukiwa tumeishiwa pumzi

    Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
  10. Viongozi wa CCM Dodoma watembelea vituo vya Watoto yatima, na kutoa Misaada

    Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, wakiongozwa na katibu wa chama hicho mkoa Bi Pili Augustino wametembelea vituo vya watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kutoa sandaka ya vitu mbalimbali ikiwemo Mchele, mafuta, maji, juisi, unga wa ngano, mbuzi na vingine...
  11. PreGE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma mjini waigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Nkuhungu

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu kutokana na hali ya kusuasua kwa mradi huo na hivyo kuagiza kuandaliwa kwa taarifa mpya yenye majibu...
  12. PreGE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma yataka kukamilishwa kwa wakati kwa hosteli ya Sekondari Mbalawala

    WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wamewataka wataalamu wanaosimamia mradi wa Hosteli ya Shule ya Sekondari Mbalawala mkoani humo kuhakikisha bweni hilo linakamilika kwa wakati na kwa ubora uliokusudiwa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  13. PreGE2025 Mwenezi CCM Dodoma: Wanaochukia wanaomsifia Rais Samia wana hulka ya roho mbaya

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amesema yeyote anayekerwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusifiwa kwa maendeleo makubwa aliyoyafanya basi mtu huyo siyo mzalendo na achague kukaa kimya kama hana cha kuzungumza...
  14. PreGE2025 Mbunge wa Hai asema Wananchi wanasema Rais Samia apitishwe bila kupingwa kama walivyofanya CCM Dodoma

    Wakuu Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa? Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho? Tena aelewe, si kila anayeshangilia kwenye ukumbi wa chama ni sauti ya Watanzania wote. Kama ana ndoto za kufundisha historia ya...
  15. Maktaba ya CCM Dodoma

    MAKTABA YA CCM DODOMA Maktaba ya CCM Dodoma imesheheni vitabu vingi na majarida mengi. Mara ya mwisho miaka mingi iliyopita nilipokuwa hapo maktaba ilikuwa chumba kitupu mfano wa ukumbi mrefu wenye viti na meza mtu akakaa na kujisomea. Leo Maktaba ya CCM ni Maktaba hasa yenye meza na viti...
  16. U

    Rais Samia kwa ulivyopanga, kuratibu na kufanikisha kikamilifu kwenye mkutano mkuu CCM Dodoma, you are the smartest president in history of tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Umewashtua na kuwashangaza pakubwa mno wamebaki wasijue nini kimetokea na nini wafanye You took them by surprise very much unprepared! Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Never ever understand Samia suluhu Hassan, never underestimate the power of a woman. Samia judging...
  17. "Sykes, Sykes, Sykes" Ndani ya Mkutano Maalum wa CCM Dodoma

    Majuma mawili yaliyopita kwenye group letu moja kuna mwenzetu mmoja aliandika maneno hayo hapo chini: "Jamani historia nzima ya Tanganyika ni Sykes and Sykes and Sykes and Sykes." Nadhani alikuwa kachoka. Kila ninapoandika historia ya uhuru wa Tanganyika Sykes hawakosekani. Kwa hakika...
  18. L

    CHADEMA jiandaeni kisaikolojia Leo. hamtaamini kitakachotokea Kwenye kuhitimisha Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Dodoma. Mtalia Sana Leo

    Ndugu zangu Watanzania, CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania na chama kinachoaminika ,kupendwa , kukubalika na kuungwa mkono. kinakwenda kuhitimisha mkutano mkuu wake maalumu. Mkutano ambao ulikuwa Rasmi kwa ajili ya kumchagua...
  19. Masahihisho: Historia ya African Association Kama Ilivyoelezwa Katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma

    https://youtu.be/X8aFsrqOgUQ?si=_R7PLruw4fYbQTWK Historia ya African Association imekosewa kidogo. African Association inachanganywa na Tanganyika African Association (TAA). African Association ilibadili jina na kuwa Tanganyika African Association (TAA) mwaka wa 1948 kujitofautisha na African...
  20. PreGE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana? https://www.youtube.com/live/kGNDo4TvGpI?si=ud91is-_-iElNfhO Makundi mbalimbali ikiwemo vyama vya siasa ndani na nje ya nchi, wasanii, taasisi za dini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…