Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Chamwino, mkoani Dodoma, Godfrey Mnyamale, amemtangaza Dkt. Netho Ndijina Ndilito wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo baada ya kupata kura 70,974, sawa na asilimia 81.9 ya kura zote halali.
Mnyamale ametangaza matokeo...