cafcc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

    Next match;Simba SC vs Esperance hii ni machinjioni kwa mkapa hatoki mtu All the best Mnyama 🦁 #nguvu Moja💪
  2. Full Time: Azam Fc 2 -0 El Merriekh | second leg | Kombe la Shirikisho Afrika| Azam Complex | 28/09/2025

    Wakuu jambo lipo live nina imani Ibenge anaenda kuipa heshima kubwa Azam Fc kimataifa msimu huu nawaona robo fainali kwa mara ya kwanza.
  3. Simba tumepotea kwa porojo za utopolo; "lengo letu limetimia sisi ni fanalist cafcc ubingwa wa nbc sio target yetu huku tuache watambe"

    Habari Zenu mashabiki bora wa CAF Super League! Kiukweli tumeingia mkenge Kwa porojo za Utopolo. Simba Kwa Msimu huu tumefanikiwa kufika sehemu ya ndoto yetu wengi hatukuwahi kushuhudia Mnyama akicheza stage hiyo. Haya ni mafanikio makubwa Sana bahati mbaya tumeingia kwenye ujinga wa wauza...
  4. Mwigulu Nchemba aipongeza Simba SC kufika fainali CAFCC, asema jambo hilo si geni kwa Yanga na hawakufungwa kama Simba

    "Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake. Mafanikio haya ya Simba yanatokana na juhudi kubwa ya uwekezaji na Rais wa heshima wa timu Mohamed...
  5. L

    Fainali ya CAFCC 2025 ilikua ni baina ya Simba vs CAF.

    Moja Kwa moja kwenye pointi. Ilisemwa siku nyingi kua, Morocco Ina nguvu sana CAF, Ikasemwa sana Mmiliki wa RS Berkane ni Kiongozi wa Chama Cha soka Cha Morocco, Wakatiki huohuo yeye huyo ni Makamu wa Rais wa CAF, Na anatajwa kua ni mjumbe muhimu katika ngazi za Viongozi huko FIFA. Rais wa CAF...
  6. Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  7. Hili tangazo la Azam TV fainali ya 2 CAFCC limekosa uhalisia

    Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu. Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
  8. 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
  9. Mpaka sasa sijui ni kwanini Simba SC, Serikali, TFF, CCM na Wanachama wa Simba SC walikuwa wanalazimisha Fainali ya CAFCC ipigwe kwa Mkapa

    Tafadhali anayezijua sababu hizo aniwekee hapa.
  10. Fainali ya CAFCC isipopigwa Taifa, Serikali itoke hadharani kuomba radhi

    Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati Fedha zote hizo...
  11. Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  12. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said acha huu Upuuzi ambao Utakugharimu kwani Wewe ndiyo unashirikiana na RS Berkane ili Fainali CAFCC isiwe kwa Mkapa

    Halafu ulivyo wa hovyo unajifanya hujui lolote wakati unatumia Nafasi yako CAF ili Kuiumiza Simba SC kwa hili la Uwanja.
  13. Simba atafungwa mechi zote final ya shirikisho CAFCC

    Berkane ndo ilikuwa timu angalau yenye muscle 💪 kwenye mashindano ya shirikisho mwaka huu, maana timu zote zilikuwa dhaifu mno Simba hajapata mechi ngumu. Mechi ngumu ndo hii ya final Nina uhakika 💯 Simba hatapata goli wala on target hata 1. Atafungwa mechi zote na magoli mengi. Kikosi cha...
  14. Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

    Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby. Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata wafanye makosa gani hata yale ambayo adhabu yake ni kushushwa daraja. Pia wanajua CAFCL ni mashindano...
  15. PreGE2025 Waziri Ndumbaro amshukuru Rais Samia kuisaidia Simba kufika fainali CAFCC, awaombea ruhusa wabunge wakaishabikie Simba Morocco

    Waziri wa katiba na sheria Damas Ndumbaro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia timu ya Simba kufika hatua ya fainali katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika huku akiwaombea ruhusa kwa naibu spika wabunge kadha kwenda nchini Morocco...
  16. Uzi huu ni Maalum kwa kuisaidia tu Simba SC mawazo ya Kiufundi kuelekea Mechi ya CAFCC Fainal away na RS Berkane

    Poti wangu Crescentius Magori, Msemaji Ahmed Ally, Mwenyekiti Mangungu, Meneja na Mtani wangu wa Kihaya Patrick Rweymamu, Wajumbe Salim Abdallah Mhene Try Again, Swedi Nkwabi na Dada yangu Asha Baraka bila kusahau na Wadau wengine wa Simba SC najua huwa mnanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums...
  17. Ijue historia: kikosi cha simba msimu wa 2024-2025 kilichofuzu fainali za kombe la shirikisho barani africa cafcc. 2025

    Kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2024/2025. KILICHOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAFCC 2024-205. kinajumuisha wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya wachezaji na nchi zao: GOLIKIPA 1. Mussa Camara🇬🇳 2. Aishi Manula 🇹🇿 3. Ally...
  18. CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

    Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993 CAF wenye mashindano wamekanusha Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC
  19. Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

    Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k...
  20. Fainali ya CAFCC hiiiiiyo inawasubiri Simba

    Baada ya mechi ya kwanza ya nusu fainali dhidi ya Al Masry, nilikumbushia kwamba Simba ina tatizo sugu la kuleta ugumu pale njia rahisi inapokuwa mbele yake. Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu Nilichokuwa nina uhakika nacho ni kuwa Simba ingeenda kusahihisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…