caf confederation cup

The CAF Confederation Cup, known as the TotalEnergies CAF Confederation Cup for sponsorship purposes, is an annual association football club competition established in 2004 from a merger of the CAF Cup and the African Cup Winners' Cup and organized by CAF.
Clubs qualify for the competition based on their performance in their national leagues and cup competitions. It is the second-tier competition of African club football, ranking below the CAF Champions League. The winner of the tournament faces the winner of the aforementioned competition in the following season's CAF Super Cup.
Moroccan clubs have the highest number of victories (seven titles), followed by Tunisia with five. Morocco has the largest number of winning teams, with five clubs having won the title. The competition has been won by 13 clubs, five of which have won it more than once. Club Sfaxien is the most successful club in the competition's history, having won the tournament three times. Zamalek are the current defending champions, having beaten RS Berkane in the 2024 final.

View More On Wikipedia.org
  1. Simba wasivimbe kiasi hicho bado ni wabovu

    Kiwango cha Simba tangu mechi ya Tabora mpaka ya leo kimedhihirisha hii timu bado ni mbovu sema tuu inajificha kwenye kichaka cha Utopolo kufanya vibaya. Washambuliaji wa Simba bado ni goigoi, viungo hawatengenezi nafasi timu inabebwa tuu na uwezo binafsi wa Camara. Soma Pia: Full Time: CS...
  2. Machache yaliyoonekana Simba SC ikitandikwa na CS Costantine

    1. Jean Charles Ahoua hana hadhi ya kuichezea Simba, dirisha dogo timu itafute playmaker mwingine 2. Upangaji wa kikosi umeendelea kuwa tatizo kwa kocha wa Simba, kuwaanzisha kwa pamoja mabeki wa kati watatu kuliwapunguzia umakini katika kutimiza majukumu yao. 3. Timu imecheza vizuri zaidi...
  3. Tuacheni Ujinga. Simba haijawahi hata kutoa Draw nchini Algeria. Leo Itachapwa kama Mbwa koko

    Wanasimba acheni ujinga na kutaka kuwatafutia lawama wachezaji wenu. Simba haijawahi hata kutoa draw nchini Algeria. Leo cha kufanya ni kuounguza idadi ya magoli wasifungwe magoli mengi sana maana hapo ni kupunguza idadi ya magoli tu. Simba yenyewe ni tia ndimu tia ndimu hamna muunganiko kila...
  4. Full Time: CS Constantine 2-1 Simba Sc | CAF confederation cup| December 8, 2024

    Match Day , shirikisho Vikosi vya leo Simba Constantine MPIRA USHAANZA 1900hrs kwa mida ya Tanzania kipindi cha kwanza kimeanza 2' Constantine 0-0 Simba 24' GOOOAL M Hussein anafunga goli Cs Constantine 0-1 Simba 29' Camara yuko chini akipatiwa matibabu baada ya kugongana na machezaji...
  5. Simba wapo Algeria ya vijijini, maporini huko Kwa walima ngano

    Madhara ya kushiriki Mashindano madogo ya Shirikisho, lazima timu zinazoshiriki haya mashindano zinatoka pembezoni. Simba wapo maporini katika Jiji la Constantine Algeria ambalo ni mji wa kale ambapo walifika Roman empire Yaani Kwa hapa Tanzania ni Kama Kilwa, Ruangwa lipo Namungo, Bagamoyo...
  6. Simba kushinda Algeria ni ndoto za mchana

    Kwa taaluma yangu ya uchambuzi na kiimani, naiona simba kesho kutwa ikichapwa si chini ya goli mbili, wana safu nzuri ya ulinzi,viungo mahiri na washambuliaji hatari sana. Kama tunavyojua Simba ina washambuliaji butu anza na Steven Dese Mukwala na Lionel Ateba huku viungo wao tegemezi ni...
  7. Nyota 22 Simba kuifuata CS Constantine Algeria, CAFCC

    Kikosi cha Simba kitasafiri Alfajiri ya December 5, 2024 kwenda Algeria ambapo itacheza mchezo wa pili hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine. Kikosi kitaondoka na nyota 22 kuzisaka pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Mohamed Halaoui Desemba 8 kuanzia saa 1:00...
  8. Wito wa Waziri Mwana FA kuhusu kuiombea Yanga, BIG NO! Labda kuiombea mabaya

    Namsikia hapa akitoa wito wa kuweka tofauti zetu pembeni na kuombeana kimataifa. Kwamba mimi Simba Sc niiombee Yanga itoboe. Hiyo kwangu haiwezi kutokea, nikitaka kuiombea labda niiombee mabaya. Lolote baya liwakute huko mnakoenda. Ikiwapendeza mkung'utwe mpaka mchanganyikiwe. Mkishenyetwa...
  9. Je, wajua ushindi goli Moja shirikisho sawa na Simba kufungwa 5-0 CAF champions?

    Katika vitu vimenishangaza mpaka nikabaki nalia ni hili suala la wanasimba wenzangu kufurahia ushindi goli Moja dhidi ya timu dhaifu kwenye ligi dhaifu ya shirikisho ( kombe la wa wamama)[emoji32][emoji32] Binafsi nilitegemea mnyama kumkandamiza bravos goli hata 10. Kama Yanga ambavyo angefanya...
  10. Kushuka kwa Yanga kunaifanya Msimbazi kuonekane kumenyooka, Ila kiuhalisia hamna timu pale

    Huwa siangalii sana michezo ya timu za shirikisho, Ila baada ya kuwa nimeketi sehemu nikipata kinywaji nikaona watu wakitazama mpira wa Simba hivyo kwakuwa nilikuwa nimeketi na TV ikiwa mbele yangu, Hivyo nikajikuta nalazimika kutazama. Baada ya kutazama mchezo huo nimegundua mambo machache...
  11. M

    Michuano hii kinachotakiwa ni point 3 muhimu lakini kocha wa Simba ajiangalie kwa mbinu zake nilishasema kuna kilio kinakuja asipobadilika!

    Mbinu za uyu kocha ni zile zile abadiliki nilikwishasema kwenye bandiko langu lililopita nilipomfatilia kwenye mechi 5 zilizopita za ligi,,anapokutana na kocha anayecheza kimbinu anapata tabu sana! Dk zote 90 ukiondoa goli la penalty ambalo na lenyewe lilisababishwa na makosa binafsi ya beki wa...
  12. Wachezaji wa Bravos Wavuruga Mazoezi ya Simba kabla ya mechi, wakitaka kutikisa Nyavu

    Ubaya Ubwela kama unamgeukia Mnyama huko Lupaso Mechi haijaanza ila Wachezaji wa BRAVOS wakawa wanalazimisha kwenda kutingisha nyavu za lango la Simba, imebidi Stewards waingie pia kuwatoa maana walienda kuingilia hadi program ya Makipa wa Simba waliyokuwa wanaifanya chini ya Kocha wa Makipa.
  13. C

    Wachambuzi wanainafikia sana Simba kusema inacheza na kibonde Bravoz

    Kama kuna wakati wa kuwaogopa hawa wachambuzi ni wakati kama huu. Kila mchambuzi ukimsikia anasema hii timu ndiyo kibonde na kwa hiyo Simba inatakiwa kujipigia goli nyingi. Kuna mashabiki wengine wa Simba wapumbavu wameshaanza kusema eti tutawafunga goli saba! Wanasahau kwamba hii ni soka na...
  14. Simba kufungwa Novemba 27,2024. Yajayo yanatisha

    Baada ya kutulia toka nilivyotoka ziarani nchini Uganda kwa museveni na GENTAMYCINE nimefanikiwa kufanya uchambuzi wa kina kati ya timu ya Simba na wapinzani wao Bravos Kwa kweli takwimu za Bravos kuibuka na ushindi zinatisha. Kama tu Makolo de Mbu mbu Mbu walishindwa kuibuka na ushindi dhidi...
  15. Hivi mlitegemea timu ya Shirikisho imfunge timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika?

    Inashangaza sana baadhi ya mashabiki wa Simba kutupa lawama kwa mwamuzi wa mchezo wengine wakitoa lawama kwa serikali, Swali la msingi ambalo wanajisahaulisha, Hivi kweli walikuwa serious wakitarajia kuifunga Young africans? Wanapaswa kushukuru mbinu aliyoingia nayo kocha wa Yanga (kuamua...
  16. Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

    Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
  17. D

    Hakuna timu CAF ya kuitoa Simba makundi Wala robo fainali

    I will be short a big team is a big team. Simba is a big team. Big team is seen in big stages. Simba cafcc group it's Simba vs mid arabs teams. Simba has bigger budget. bigger fan base. bigger presence, no hard feelings but Simba will win almost all game in that group. am rooting for...
  18. Yanga hamna kitu; Kombe la shirikisho (CAFCC ) mnaliponda alafu hapo hapo mnalisifia

    Droo imepangwa, lakini ni Kama mashabiki wa utopolo imewaumiza kuona Simba anaenda fainali kabla hata ya kucheza. Kinachonishangaza wameanza kuikisoa CAFCC ( Ambao wao pia walicheza ), na kusema ni kombe la "WAMAMA" kwa maelezo Yao kuanzia hapa JF, mitandaoni na hata mitaani Ila kinachoniacha...
  19. Uchambuzi: Mbinu 3 za Yanga kufuzu Robo Fainali klabu Bingwa Afrika 2024/2025

    Leo tumeshuhudia Shirikisho la Mpira wa miguu Afrika ( CAF) wa upangaji wa hatua ya makundi kombe la Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika ( CAFCCL) ambapo Yanga kwenye Klabu Bingwa Afrika wamepangwa na TP Mazembe DR Congo, Al Hilal ya Sudan na MC Alger ya Algeria. Kwa...
  20. Kauli ya Ahmed Ally baada ya droo Kombe la Shirikisho Afrika

    Wajue Wapinzani wa Simba SC Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika Katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC inakutana na wapinzani wenye historia kubwa katika michuano hii. Wapinzani hao ni CS Sfaxien na CS Constantine. 1. CS Sfaxien: Huyu ni bingwa mara tatu wa Kombe la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…