caf confederation cup

The CAF Confederation Cup, known as the TotalEnergies CAF Confederation Cup for sponsorship purposes, is an annual association football club competition established in 2004 from a merger of the CAF Cup and the African Cup Winners' Cup and organized by CAF.
Clubs qualify for the competition based on their performance in their national leagues and cup competitions. It is the second-tier competition of African club football, ranking below the CAF Champions League. The winner of the tournament faces the winner of the aforementioned competition in the following season's CAF Super Cup.
Moroccan clubs have the highest number of victories (seven titles), followed by Tunisia with five. Morocco has the largest number of winning teams, with five clubs having won the title. The competition has been won by 13 clubs, five of which have won it more than once. Club Sfaxien is the most successful club in the competition's history, having won the tournament three times. Zamalek are the current defending champions, having beaten RS Berkane in the 2024 final.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Yanga Ruksa mchukue Ligi kuu, Muungano cup na hata FA, Simba tujikite kuleta kombe la kimatafa kwa mara ya kwanza Nchini

    Yanga mna ruhusa zote kubeba makombe yote ya ndani Ligi kuu, FA na hilo la Muuungano. Hayo makombe ya ndani yapo tu wala hayana stress, Simba tujikite na kombe la kimataifa ikiwezekana hata huko FA tujiengue
  2. Simba leo ikishinda natembea bila nguo na nipigwe Ban kwa kitendo hicho

    Ndiyo natembea bila nguo kifuani....watu waone manywele yote kifuani. Na kwa kitendo hicho nipigwe ban ya mwezi mzima kavu. Bila mbambamba. Sioni Simba ya kushinda match ya leo na washambuliaji kama akina Ateba na Ahoua anabaki na goal anapiga nje....nlicheka sana. Mshambuliaji migulu baja...
  3. Nguvu kubwa anayotumia Mwameja kama bonus kwa wachezaji huko shirikisho angeweza kusajili wachezaji bora wasiohitaji motivation

    Kweli akili ni mali, Nguvu kubwa inayotumika na mahujaji wa sanamu ya Rage ili tu kumkomoa na kuvunja record za Yanga, Laiti kama ingekusanywa na kuwekwa pamoja basi Marcel Alliende huyu hapa! Hayo mamilioni yanayotumika kumlipa chapombe na Ataiba ili kumtoa Al masry sijui cs sfaxien na timu...
  4. PreGE2025 Rais Samia abeba gharama za Simba Afrika Kusini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025...
  5. Simba mkitaka kuchukua kombe la shirikisho! Mpanzu, Kibu na Ahoua waachwe Bunju hawa ndio wanaohujumu timu yenu

    Mimi naomba nipingane na mashabiki wote wa simba na wachambizi wa mchele hapa Bongo wanaojiita wachambuzi wa soka. Kibu, Mpanzu na Ahoua hawa watu wanatabia moja ya kupenda sifa, mapicha picha, camera na ujiko Uchezaji wao ni kama wa boka au kibwana shomari tena afadhali boka na kibwana maana...
  6. Nina uhakika 100% kama Simba ingeshiriki CAFCL kwa kikosi hiki isingeweza kufuzu hatua ya makundi

    Kuna wakati inabidi mashabiki wa Simba wawe na shukrani, Maana kama hiki ndicho kikosi chao cha kwanza, na aina hii ya uchezaji, basi nina uhakika 100% wasingeweza kufuzu hatua ya makundi katika mashindano ya Mabingwa wa bara la Afrika. Wanapaswa kuoshukuru sana Azam na kushukuru kudondokea...
  7. Simba hii ilifikaje semi final? Nashauri mkimbie mechi ya marudiano huko South Africa

    Ndo maana shirikisho ni mashindano madogo yaani hakuna bingwa wa nchi yoyote anayecheza haya mashindano ya kitoto Leo nimetazama mchezo wa Simba dhidi ya Stellenbosch, ni kituko tu ni kama ndondo au mashindano ya Watoto wa shule Simba inacheza kama haina coach? Timu haijui ikabe vip...
  8. L

    Simba wamecheza vizuri sana,na huu ni ushindi wa kupongezwa kabisa

    Nawapongeza Simba Kwa ushindi dhidi ya Stellenbosch wa goli moja Kwa bila. Sijui ni kutokuelewa matokeo ya Sola au ni ushabiki uliopitiliza. Mashabiki wengi wa Simba ni kama hawajaridhika hivi Kwa goli moja bila na kosakosa kibao. Lakini mchezo wa soka tunajua una matokeo ya kushangaza. Ukweli...
  9. M

    Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila kitu Stellenbosch wameonyesha uwezo

    Ule msemo wa uchawi aupandi ndege inawezekana ukaja kutimia kule bondeni kwa madiba! Simba pamoja na kuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani na kufanya Kila aina ya ushirikina bado wamepewa mechi ngumu na vijana wa madiba! Kama kawaida yao na jadi yao ya ushirikina ndio vimewanusuru Leo kupata...
  10. Tarehe 27.04.2025 Simba SC anafungwa na Stellenbosch FC, asipofungwa naomba nipigwe ban JF kwa muda watakaoupendekeza Mashabiki wa Simba SC

    Wakuu sijamaliza, muendelezo ni ule ule baada ya leo wale Makolo kufunga goli la Offside ya mchongo kutoka kwa Kibu akipewa assist na refa. Sasa game inayofuata kwa Madiba miamba Stellenbosch wanaenda kuukata mzizi wa fitna. Simba SC kwa Stellenbosch hafui dafu nyumbani kwa Stellenbosch. Kwa...
  11. A

    Hii imekaaje? Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali na kocha anaanzisha holding midfielders wawili

    Inasikitisha. Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali ambayo tunahitaji matokeo ya goli kuanzia 2 kwenda juu alafu kocha anaanza na viungo wakabaji na sio wakabaji tu ila pia wenye mentality ya kukaba wawili yaani Ngoma na Kagoma. Ukiacha hilo, tupo nyumbani tunaongeza kwa goli moja la...
  12. Kama itaingia fainali ya CAFCC, kwa hatua ya dharura, Simba SC ichukue hatua hizi za kuzuia maji uwanja wa Mkapa

    Iwapo Simba itaingia fainali ya CAFCC, hakuna mwanasimba au mpenda soka yoyote nchini anayejitambua atakayefurahi kuona Simba inakosa fursa ya kutumia uwanja wa Mkapa, hasa ukizingatia pia mechi ya pili ya kukabidhiwa kombe itafanyikia katika uwanja wa nyumbani. Litakuwa ni kosa la karne na...
  13. L

    Simba msijisahau na kuendelea kusherehekea kuingia nusu,mkasahau kujiandaa na yajayo

    Historia inatuonesha Kuna watu walisherehekea mafanikio wakasahau kujiandaa kwa matukio yajayo,mwisho wa siku wakaja kupoteza kirahisi kabisa. Kitu ninachoweza kuwaambia, kwa kadri mtu anavyosonga mbele katika jambo lolote lenye faida, ndivyo anavyokutana na ugumu. Hivyo nawashauri Viongozi wa...
  14. M

    Mambo 10 niliyoyaona leo Simba ikitinga Nusu Fainali na Kuivaa Stellenbosch ya Afrika Kusini

    1. Kipa wetu Pin Pin Camara ndio usajili namba moja mzuri uliofanywa na viongozi wa Simba, ni kipa ambaye hata kama anafungwa huwa anafungwa kama wanavyofungwa makipa wengine duniani lakini haiondoi ukweli kuwa kipa huyu ni bora mno na Aishi Manula atafute changamoto timu nyingine. 2. Shomari...
  15. Ellie Mpanu: Sina hofu na timu yoyote tutakayopangwa nayo Nusu Fainali CAF

    Nyota wa mchezo wa leo Ellie Mpanu alizungumza baada ya dakika 90' kumalizika. Mpanzu " Namshukuru Mungu kwa hatua kubwa tuliyopiga kwa kufika hatua ya nusu fainali na ukiangalia Misimu 5 ni mingi sana hiki ambacho tumekifanya leo kwa uwezo wa Mungu tutafanya hatua inayofuata." Soma Pia: FT...
  16. T

    Jumapili Tunaenda Kushukuru Mungu Kanisani kwa Mwamposa!

    JUMAPILI TUNAENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA MWAMPOSA!" Mashabiki wote wa Simba Sports Club, ushindi wetu si wa kawaida – ni wa kiroho! Ni lazima tumrudishie Mungu utukufu kwa neema, nguvu na ushindi aliotujalia. Jumapili hii (Tarehe 13 Aprili, 2025) Mahali: Kanisa la EFATHA, Ubungo – Dar es Salaam...
  17. Hongera mtani, ni dhahiri hii Simba Wacha itambe huko Shirikisho

    Mashindano ya shirikisho Yana timu dhaifu mno. Kama hawa Waarabu wamelegea Mno Nawaza tu hii Simba mbovu ingekuwa kwenye mashindano ya wanaume yaani CAFCL achana na haya waliyomo ya akina mama Simba ndo ikutana na Al Hilal, Mc Alger au TP Mazembe kudadek laZima 5imba ingepigwa 5 Kaduguda...
  18. Kamanda Muliro tafadhali waambie askari wako wawe wakali kesho

    Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita Wao wakaenda kupita mlango mwingine, wakakutana na askari, ila askari wamewazuia ila nashangaa Bado wakapita hapo mlango usio...
  19. C

    Simba wameamka safari hii kushitukia mbinu za nyuma mwiko kuwejeza kwa mameneja viwanja

    Kwa Mkapa sio eneo tena la ufalme wa Simba kwa sasa. Ukifuatilia vizuri hivi karibuni amekuwa akipata matokeo kwa mbinde sana akiwa kwa Mkapa. Nakumbuka Kirumba Mwanza meneja alikuwa mzee Tegete.Simba aliteseka sana na timu za Mwanza hata akina Mbao FC walimtesa sana.Alipata ushindi kwa mbinde...
  20. Utabiri wa Mechi ya Simba SC vs Al Masry SC, Japo Mchezo utakuwa Wenye ushindani ,Lawama kwa Refa kuwabeba na Penalty Simba atafuzu Nusu Fainali!

    Nakuletea Utabiri Ambao Nitauchambua kwa kutumia number vibration (Numerology) na Pia Some of the astrological Effects Za siku hiyo.. Ambavyo Vyote vinaonyesha Simba Anaweza Kufuzu Aidha kwa Matuta au Atafunga ns Kusawazisha Agg.. kuwa 2:2 Haya Tuangalie.. Numerology Analysis Tarehe ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…