bwawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazee wampongeza Rais Magufui ujenzi bwawa la Nyerere

    CHAMA cha Saidia Wazee Tanzania (SAWATA) kimempongeza Rais John Magufuli kwa ushupavu, alioonesha wa kuamua kutekeleza ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Mto Rufi ji wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP), ambao ujenzi wake kwa sasa umefi kia asilimia 10. Mradi huo wa kuzalisha...
  2. Ni mwaka sasa tangu ujenzi uanze, sijaona kilichofanyika Bwawa la Rufiji

    Nasikia kuna trilioni kadhaa zimeshatumbukizwa huko, nilitegemea by now kuona walau bwawa limeinuka angalau hata sentimita 50, lakini wapi! Kuna anayefahamu kinachokwamisha?
  3. Kwa wenye diesel pumps za kuvuta maji naombeni ushauri wenu

    Habari za leo wanaJF! Ninahitaji diesel pump ya maji yenye uwezo mkubwa wa kutoa maji kutoka mita 200 kwenye bwawa na kuyaleta kwenye tank lililopo mita nne juu (limejengewa mnara wake). Naombeni ushauri wa aina ya pump na horsepower (HP) zake.
  4. Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji. Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani...
  5. S

    Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge

    Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous. Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
  6. K

    WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Soma hoja za WWF hapa kwenye linki https://wwf.fi/mediabank/10039.pdf. Je wewe uko upande upi na kwanini? ======= WWF is one of the world’s largest and most experienced independentconservation organizations, with over 5 million supporters and aglobal network active in more than 100...
  7. W

    Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…