Baadhi ya wabunge wakiwasili bungeni jijini Dodoma leo Januari 30, 2026 kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa pili wa Bunge la 13.
Katika shughuli za leo, kama ilivyo kawaida, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge watauliza maswali na kujibiwa na serikali.
Aidha, Bunge...
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 24, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge watapiga kura kupitisha bajeti kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 56.49 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Bajeti hiyo inajumuisha stahiki za watumishi na...
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 23, 2025 pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atawasilisha taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya ya Mwaka 2024.
Wabunge, wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026.
Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024...
https://www.youtube.com/watch?v=U14SZR1OTYg&pp=ygUFYnVuZ2XSBwkJ3gkBhyohjO8%3D
Serikali imesema itaendelea kuwalea na kuwapatia matunzo wazee wasiojiweza ambao hawana familia na ndugu wa kuwatunza kupitia makazi ya wazee na wasiojiweza 13 inayoyamiliki.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa...
Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa?
Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
https://www.youtube.com/watch?v=UfR2sHGnbYE
Bunge la 12 linaendelea na vikao vyake ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2025/26. Bajeti hiyo inawasilishwa Bungeni na Waziri wa wizara hiyo, Deogratius Ndejembi, ikilenga kuainisha...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, miongoni mwa shughuli...
https://www.youtube.com/watch?v=MBMd95jalzs
Prof. Kitila Mkumbo aeleza mafanikio ya uwekezaji wa DP World na Mradi wa SGR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais -Mipango na Maendeleo, Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, leo tarehe 01 Novemba 2024 amewasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa...
https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU
Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma
Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
https://www.youtube.com/watch?v=Z5YgPiauF-U
Hoja Za Serikali: Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025.
WAITARA: NI SAHIHI KUKUSANYA KODI YA SERIKALI KWA NJIA YA KUMWAGA DAMU?
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akielezea...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo tarehe 31 Januari, 2023 kwenye Mkutano wa Kumi, kikao cha kwanza.
HOJA YA SEHEMU ZA KUSUBIRI KUWAONA WAGONJWA
Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Nassor Kisangi ameuliza kuhusu mpango wa Serikali katika kujenga na kuongeza maeneo ya kusubiri kuona wagonjwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.