bukoba

Bukoba is a city situated in the north west of The United Republic of Tanzania on the south western shores of Lake Victoria. It is the capital of the Kagera region, and the administrative seat for Bukoba Urban District. Population estimate: 100,000. The city is served by Bukoba Airport and regular ferry connections to and from Mwanza, as well as roads linking to Uganda's Rakai District for the cross border car commuters with plans underway for a standard gauge railway construction[1] to fulfil the high ambitions of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Radio Maria Tanzania na Radio Mbiu ya Bukoba imekaaje?

    Wakuu, hivi karibuni imeanza kuzoeleka kusikia mtangazaji wa Radio Maria akiitangaza Radio Mbiu ya Bukoba kama mshirika wake. Nachotatizwa hapa ni namna ya UHUSIANO kati ya radio hizi mbili kwani inajulikana Radio Maria Tanzania inaendeshwa kwa nguvu ya wasikilizaji kwa kutoa michango. Je...
  2. Taarifa ya utekelezaji miradi ya maendeleo kupitia fedha ya kuchochea maendeleo ya jimbo la Bukoba Mjini

    Kuelekea kumaliza kipindi chake cha utumishi katika jimbo la Bukoba mjini na katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. WILFRED M. LWAKATARE (Mb) na Waziri kivuri wa wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi anayo furaha kuwashirikisha mafanikio makubwa ya usimamizi wake juu ya...
  3. Tuzidishe maombi ili corona iyeyuke, fedha zinazochangwa zitunzwe zikajenge hospitali au shule ya kisasa, Bukoba wanafaidi shule ya hela za tetemeko

    Nahimiza watanzania tupige gombo la kutosha, tufanye maombi Mungu atajibu. Tukeshe mabarabarani, makanisani, misikitini na kila mahala. Hakuna haja ya kupoteza hela zinazochangwa kupambana na corona, pesa hizo zikusanywe ziachwe baadae zitumike kujenga mashule na hospitali. Yalichangwa...
  4. S

    Ansbert Ngurumo: Bashiru aangukia pua kwa Meya Chifu Karumuna

    Waziri wa Fedha na Mipango, ambaye majuzi alimpigia simu Meya wa Bukoba, Chifu Karumuna, akamwita kwa dharura aende Dodoma kwa mazungumzo ya kikazi. Manispaa ya Bukoba inaongozwa na CHADEMA. Iilikuwa hivi: Chifu Karumuna akapokea simu toka Waziri Mpango, akaitwa Dodoma. Akaenda. Kufika ofisi...
  5. Rais Magufuli: Tetemeko halijaletwa na Serikali, watu wafanye kazi

    Kwa kweli sina milioni saba ya kulipa... Ila Mkuu ana maneno mazito! Anasema waathirika wasikae tu huko wanangoja hela za serikali kwa sbb wanasikia zimechangwa,waanze kujisaidia kwanza wao na serikali itawasaidia pale waliposhindwa. Mkuu anasema mtu ukuta umedondoka, anataka asubiri serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…