buchosa

Buchosa District, is a district in the Mwanza Region in the southern coastal Tanzania. The district is on the south shore of Lake Victoria west of the city of Mwanza and north of the Geita Region. Much of the district is large islands in the lake. The district was established in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Hela za kujikimu kwa Ajira Mpya Buchosa – Mwanza ni kilio tangu Mwaka 2025

    Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
  2. GE2025 Katalyeba: Wananchi wa Buchosa tumetosheka na kasi ya maendeleo, hatuhijaji Siasa za Ubwabwa

    Katika uzinduzi wa kampeni za udiwani Kata ya Nyakaliro, Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza, Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Sengerema na mmoja wa wasimamizi wa kampeni Jimbo la Buchosa, Comrade Boniphace Katalyeba, amewasihi wananchi wa Buchosa kuendelea kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita...
  3. GE2025 Eric Shigongo: Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, Hakuna anayetudai

    Eric Higongo, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Dk. Oscar Ishengoma Kikoyo na mgombea udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Mhaji Bushako wameendelea na kampeni ya kusaka kura za Dk. Samia Suluhu Hassan. Shigongo amewaambia...
  4. GE2025 Uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Buchosa, Shigongo asema "Ndani ya Miaka mitano tumepewa Bilioni 83 za Maendeleo"

    Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Jimbo la Buchosa, mgombea Eric Shigongo, Septemba 3, 2025 ameeleza namna ambavyo serikali imefanikisha maboresho ya miundombinu mbalimbali na kutatua changamoto zilizokuwa zikiwakabili wananchi. Miongoni mwa mafanikio yaliyotajwa ni pamoja na ujenzi na...
  5. GE2025 Shigongo achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Buchosa, asema hakuna sababu ya uwepo wa makundi

    Mgombea Ubunge Buchosa, Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa Kata ya Kazunzu alipopita kuwasalimia mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jana Agosti 26, 2025 amewasisitiza Wananchi kuwa na umoja, kuachana na makundi yaliyokuwepo awali wakati wa mchakato wa Kura za ndani. Shigongo...
  6. GE2025 CCM yawatangaza waliopita kuwania udiwani Buchosa

    Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, ametangaza majina ya madiwani walioteuliwa kuwania nafasi hiyo katika wilaya ya Sengerema. Aidha, amewakabidhi barua zao za uteuzi na kuwataka waendelee kushikamana ili chama kipate kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu.
  7. R

    GE2025 Hawa wananchi wanaomsifia Shigongo leo waliishije miaka minne iliyopita bila maendeleo yaliyokuja tu ghafla kuelekea uchaguzi 2025?

    Wakuu wa JF, nimekutana na video inaonyesha wananchi wa Buchosa wakitoa maoni wanamsifia aliyekua Mbunnge wao ambaye tena ni Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM Eric Shigongo. Imenifanya nifuatilie hayo maendeleo wanayozngumzia yamefanyika kipindi gani? na kwa nini kipindi hiko? Nimegundua...
  8. GE2025 Buchosa imeitika! wananchi wampa maua mbunge aliyemaliza muda wake Eric Shigongo kwa kazi aliyoifanya jimboni kwao

    Buchosa imeitika! Sikiliza wananchi mbalimbali wanavyotoa maoni yao kuhusu kazi zilizofanywa na mbunge aliyemaliza muda wake na mshindi wa kura za maoni za kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa mara ya pili, Eric Shigongo.
  9. GE2025 Erick Shigongo aamini kuteuliwa kugombea Ubunge wa Buchosa Kupitia CCM 2025

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza na wanahabari wakati wa maziko ya Hayati Job Ndugai wilayani Kongwa, mkoani Dodoma, Shigongo amesema...
  10. GE2025 Eric Shigongo: Buchosa tulikuwa tunasafiri masaa tisa hadi Mwanza, sina pesa za kugawa mnihukumu kwa matendo yangu

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema kuwa barabara za sasa ni bora zaidi kuliko za miaka iliyopita, ambapo zamani ilichukua hadi saa 9 kusafiri kutoka Buchosa hadi Mwanza Mjini. Shigongo ameongeza kuwa katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wake, mapato ya halmashauri yameongezeka na...
  11. GE2025 Shangwe laibuka baada ya Eric Shigongo kuibuka mshindi kura za maoni CCM, jimbo la Buchosa

    Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika jimbo hilo.
  12. GE2025 Eric Shigongo adai Buchosa kuna watu wamesambaza pesa ili wamuondoe kwenye jimbo lake

    Wakuu, Inashangaza sana kuona mtu ambaye alikuwa anahonga wananchi Matisheti analalamikia kuhusu rushwa kwenye Uchaguzi Yaani hapa kasema kabisa yeye hana hela na kwamba huko Buchosa kuna watu wanasambaza hela ili wachukue nafasi yake. "Mtakachokifanya kesho wazazi kisitegemee ni kiasi gani...
  13. R

    GE2025 Wananchi wa Buchosa washuhudia Makala ya miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa na Mbunge wao Eric Shigongo

    Mamia ya wananchi wa Kata za Nyakaliro na Irenza walijitokeza kwa wingiJulai 3, 2025, kushuhudia makala za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Jimbo la Buchosa, chini ya uongozi wa Mbunge wao Eric Shigongo Zoezi hilo limeendelea kufanyika katika kata hizo ambapo wananchi waliwasilishiwa...
  14. R

    GE2025 Wananchi Buchosa wamepokea kivuko MV Mwanza

    Kivuko cha MV Mwanza kimepokelewa katika Jimbo la Buchosa, ambapo kitakuwa kikifanya safari kati ya Nyakaliro na Kisiwa cha Kome Kivuko hicho kimepokelewa kwa shangwe na wananchi wa Buchosa wakiongozwa na Mbunge wao, Eric Shigongo, na kinatarajiwa kurahisisha shughuli za usafirishaji wa abiria...
  15. R

    GE2025 Eric Shigongo achukua fomu kutetea Ubunge Buchosa kwa mara nyingine

    Mbunge wa Buchosa anayemaliza muhula wake wa kwanza, Eric Shigongo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa jimbo hilo kwa muhula wa pili, zoezi lililofanyika katika Ofisi za CCM Sengerema Shigongo amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu...
  16. PreGE2025 Buchosa wakataa pesa za mgombea, 'hatutaki rushwa'

    Buchosa, Mwanza Tukio la kushangaza linalodaiwa kukiuka taratibu na maadili ya uchaguzi limeibuka katika Jimbo la Buchosa, ambapo mtia nia wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Charles Tizeba, anaripotiwa kuwapatia wajumbe wa CCM kiasi cha shilingi elfu ishirini (20,000/=) kwa...
  17. R

    PreGE2025 Dakika za jioooni, Eric Shigongo aweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa, Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameweka umeme kwenye zahanati ya Kisiwa cha Soswa iliyopo katika jimbo hilo na kumaliza kero ya muda mrefu ya wanawake kujifungua kwa msaada wa mwanga wa tochi, iliyokuwa ikiwakabili wananchi hao Hatua hiyo imepongezwa na wananchi wa Kisiwa cha Soswa ambapo...
  18. R

    PreGE2025 Wananchi Buchosa wameshukuru na kumpongeza Mbunge wao Eric Shigongo kwa miradi ya maendelea, wametoa mitano tena

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa mkoani Mwanza Eric Shigongo amefanikisha usimikaji wa taa za barabarani katika jimbo hilo jambo lililoweka historia mpya kwa jimbo hilo, Wananchi wa Buchosa wamemshukuru Shigongo na kuahidi kushirikiana naye kwa miaka mingi ijayo
  19. Inawezekana Buchosa ndo jimbo rahisi zaidi mtu kushinda ubunge

    Hii video inaashiria wapiga kura wa Buchosa hawana mambo mengi. Kila la heri Komredi Erick Shigongo
  20. PreGE2025 Eric Shigongo: Nimekuja na mpango wa madarasa janja kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo ya sayansi

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema amekuja na mpango wa smart classes (madarasa janja) kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi wa Buchosa kufaulu masomo yao hasa ya Sayansi na kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…