Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu.
Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil.
Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la...
Ungana nasi kwa kutazama video hii kufuatilia mguu kwa mguu toka wakiwasili jijini Sao Paolo Brazil wakijifanya raia wa Angola ktk utalii Brazil kisha wanaanza safari kwenda Canada.
Safari hii ya 'Wakongomani' toka Congo na nchi za Maziwa Makuu pia Afrika ya Mashariki wanaoingia Brazil bila...
Dah kwa mechi ile ya jana ya FIFA CLUB WORLD CUP 2019, imeonesha kuwa brazil (america ya kusini) ndiyo kitovu , cha mpira wa kandanda aseee , dah jana nilicheki mpaka mwisho nkajisemea , ULAYA MPIRA WAO NI WA PESA TU , KWENDA KUCHUMA HELA .
Huenda Brazil ikapoteza haki ya kura katika baraza kuu la Umoja wa Mataifa kama itashindwa kulipa mchango wa lazima wa uanachama inayodaiwa kufikia mwishoni mwa mwaka.
Brazil ipo hatarini kupoteza haki ya kura katika baraza kuu la Umoja wa Mataifa kama kufikia mwishoni mwa mwaka huu itashindwa...
Tatiana Pereira amehukumiwa jela miaka 25 na miezi nane kwa kumuua makusudi mwanae wa kiume aliyefahamika kwa jina la Lozano (17) kisa ni shoga ambapo hakupendezwa na sexuality ya mwanae huyo.
Awali, mwanamke huyo aliwakodi jamaa wawili kwa majina ya Victor da Silva na Miller da Silva Barissa...
Kikosi cha Brazil cha umri chini ya miaka 17 kimenyakuwa kombe la dunia baada ya kuinyuka Mexico kwa bao 2-1 katika mchezo wa fainali.
Pamoja na kunyakuwa kombe hilo pia mchezaji wa Brazil Gabriel Veron amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa michuano hiyo wakati mchezaji Matheus Donelli wa Brazil...
Our team in the U17 World Cup:
7 matches
7 wins
19 goals scored
6 goals conceded
Winners of the tournament and 100% in all competition.
Great generation incoming🇧🇷 Reliquias Brasileiras🇧🇷 on Twitter