b.o.t

"O.B.I.T." is an episode of the original The Outer Limits television show. It first aired on 4 November 1963, during the first season.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO BOT mnataka tufilisike kabisa ndio mtafurahi? Fungueni akaunti zetu, tuna hali ngumu kimaisha, kila kitu kimekwama

    Nimelazimika kuandika hapa huku nikiwa na huzuni sana kwa kuwa tumevumilia lakini tunaona uvumilivu unaelekea ukingoni. Ni Miezi mitano sasa toka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afanye uteuzi wa Naibu Gavana Anayeshughulikia Utawala, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh. Dkt. Rahma, sisi tuna madeni...
  2. JamiiForums Tanzania Sina uhakika kama Polepole hatagusa suala la B.O.T na gari la Kemikali

    Akifika hatua Hii watu watapigwa mawe
  3. JamiiForums Tanzania B.O.T yaja na Hatifungani ya miaka 10

    Neema kwa wawekezaji wale waliokuwa wanasita kuwekeza kwenye bond za B.o.t kutokana na kuwa na Muda mrefu wa kuiva kwa Bond sasa ni miaka 10 tuu hati fungani yako itakiwa imeiva. Kuhusu gawio, wanatoa gawio la 14% kwa mwaka. Sio haba , lakini wazee wa compound interest hii haiwabebi
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
  5. JamiiForums Tanzania Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  7. JamiiForums Tanzania Zijue Sababu Za Kuporomoka Kwa Nafasi Ya Tanzania Kwenye Global Crypto Adoption Index

    Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF 🙌🎄🥂, Maana Ya Global Crypto Adoption Index. Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…