Huu sio uzi wa chuki wala kejeli, ni namna ya kutazama haya makundi mawili hapa jamiiforums ambayo, wao huwa wanaangalia kigezo cha dini tu, yani yuko radhi usiku aite mchana ili kutetea upande wake.
Ukichukulia haya mambo serious unaweza kuumwa kichwa, haya makundi ni special na sio ya kuyapa...