boniphace mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Boniphace Mwabukusi: Ukweli, haki na uwajibikaji ndio vitaliponya Taifa

    Wazungu wa Afrika kusini tulikuwa hatuwapingi kwa rangi yao, tulikuwa tunawapinga kwa ubaguzi wao hatuwezi kuwa na Makaburu hapa, halafu tukawaheshimu kwa sababu ni weusi ni makaburu." Mwl.JK NYERERE. Tumefika katika nafasi ambayo ,tunavuruga chaguzi zetu bila aibu,tunatumia risasi za moto...
  2. Idugunde

    Boniphace Mwabukusi ni kibaraka na pandikizi la CCM. Hafai kuaminika hata kidogo

    Ukisikiliza mpaka mwisho utakubaliana na mimi Idugunde 👇
  3. S

    GE2025 Wakati polisi wakiendelea kupiga wananchi mahakamani, Mwabukusi asema Jeshi la Polisi linatakiwa kufumuliwa lote, mitaala yao ibadilishwe

    Wakati akizungumza na Clouds 360 leo Septemba 15, 2025 , Rais wa TLS Boniphace Mwabukusi ameeleza kuwa mabadiliko makubwa yanayotakiwa kufanyika nchini ni kubadili jeshi la polisi namna yake ya ufanyaji kazi. Haya yanajiri katika siku ambayo polisi wanaendelea kuwapiga wananchi waliohudhuria...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake

    Wakuu, TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi (Senior Advocate)...
  5. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwabukusi: Tunataka uchaguzi ufanyike bila mabomu wala vurugu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniphace Mwabukusi amesema anataka Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ufanyika bila mabomu wala virungu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Back
Top Bottom