boniface mwamposa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VIDEO: Boniface Mwamposa akimuombea baraka Rais Samia

    Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
  2. Rais Samia akishiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa, Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe

    Rais Samia kushiriki Uzinduzi wa Hema la Mwamposa leo Julai 5, 2025 Viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe - Dar es Salaam. https://www.youtube.com/live/NZ57idJKHwQ?si=S2Y-6Mx9OoOrpMT6 Uzinduzi wa kanisa hili umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kanisa, misikiti na serikali walihudhuria, watu...
  3. Waliochukua fomu karibuni kwa Mwamposa

    Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote. https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
  4. PreGE2025 Mtume Boniface Mwamposa ndani ya mkutano Mkuu wa CCM

    Kwenye picha ni Mkuu wa Kanisa la Inuka Uangaze, Mtume Boniface Mwamposa maarufu ‘Bulldozer’ akishiriki mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa leo Mei 30, 2025 Jijini Dodoma. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  5. PreGE2025 DC Magoti atamani Mwamposa akajenge Kanisa (nyumba ya ibada) Kisarawe

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali. Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa amesaidia watu wengi wenye shida mbalimbali na kutokana na mchango wake mkubwa, alimwomba kuja...
  6. PreGE2025 Serikali acheni kumtumia Mwamposa kutafuta uhalali wa kudhibiti na kufungia mitandao ya kijamii

    Wakuu, Sasa mnaanza kumtumia tapeli Mwamposa kutafuta namna ya kufungia mitandao ya kijamii! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ILIYOPIMWA! Mnataka kupitisha agenda ya kuanza kuchunguza watu na kudhibiti mambo ambayo watu wanaona! Eti watanzania waanze kutumia mitandao ya kijamii ambayo ni...
  7. U

    PreGE2025 Mwamposa ataka Mitandao ya Kijamii idhibitiwe. Adai inafanya watu kuwa wavivu

    Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa, amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii badala ya kujikita katika maendeleo. Akihubiri leo Jumapili kanisani Mwamposa...
  8. Mwamposa na Lugumi mnawafanya Watanzania hawana akili ya kugundua mchezo wenu kuhusu ujenzi wa ghorofa za yatima Dar

    Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia...
  9. PreGE2025 Mwamposa, NSSF na Leopard Tour watoa pikipiki 60 kwa Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi Arusha

    Wakuu, Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu! === Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF pamoja na Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya Utalii ya Leopard Tour wametoa...
  10. RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es...
  11. Niliona gari ya Kapola, nikaona hotel ya Boniface then shule ya kimataifa ya Ezekiel, nikajiuliza, am I too soft for life or too harsh on my reality?

    Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika" Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards, magari makali (tsh 100m+), maji for sale? Si nilidhani revenues zinazotokana na vishilingi vya sisi...
  12. L

    Rais Samia atoa Salamu za Pole kwa Boniface Mwamposa Kufuatia Kifo cha Msaidizi wake Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
  13. Barua ya wazi kwa Boniface Mwamposa

    Kwako mtumishi wa Mungu, nakuomba Tafadhali sana usipuuze andiko langu, hili ni andiko la Mungu mwenyewe. Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu,ni kweli kabisa Mungu alikuita ili ufanye kazi yake, wanaokudharau na kukusimanga ni wa kuonea sana huruma, kwa sababu mimi nina ushahidi wa zaidi ya 100...
  14. Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

    Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali. Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa...
  15. Anayoyafanya Mwamposa kama ni kweli, Watanzania tusipuuze kila kitu

    Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua. Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni...
  16. Aliyetoka kwenye mkesha wa Mwamposa Dar afia ndani

    Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani. Kwa mujibu wa taarifa ya mkewe imeeleza kwamba mume wake alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu na...
  17. S

    Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao

    Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao. Pia soma: Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha...
  18. Mgogo, Hananja na IPM ndiyo Wahubiri wangu wazuri

    Kwangu Mimi hawa akina Mgogo, Hananja na IPM ndiyo Wahubiri wangu wazuri na ninaowaelewa kwakuwa hawana Unafiki na Wanahubiri Maisha halisia Inahitaji Akili / IQ Kubwa sana ili Kuwaelewa, ila ukiwa kama Wapuuzi wa Mkesha wa Kichawi wa Ijumaa hutowaelewa. === Pia soma: Nimepita hapa Kawe kwa...
  19. Huu umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe!

    Huo umati ni kielelezo cha jamii iliyokata tamaa, inayotegemea miujiza ya mafuta itoboe! Ujinga, maradhi na umasikini is real.
  20. Happy Birthday to you Boniface Mwamposa mtu mwenye maji na mafuta yake mjini

    Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…