Je ungependa mtu yeyote ashindwe kuzima simu yako mpaka aingize password ? Najua watu wengi wanaweza kushanga inawezekana vipi ? naam inawezekana.
Watumiaji wa simu za android kuna feature kupitia simu yako inakupa uwezo wa kuweka password, pin, patterns ili mtu akiwa anahitaji kuizima simu...