bongo flaver

  1. bahati93

    Nakemea mavazi ya kinazi aliyovaa Mr Blue kwenye video ya Mawe

    Habari ya asubuhi wanajamii. Kuna mambo mengi sana ya kuiga hapa duniani lakini kuna mengine siyo ya kuiga kabisa kama jambo ambalo amefanya Mr Blue kuvaa mavazi ya kinazi kwenye video ya music inayokwenda kwa jina MAWE akiwa kashirikishwa yeye pamoja na RayVanny na msanii wa kitaa ambaye...
Top