bodi ya wadhamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Kanisa la wa Sabato Tanzania lakanusha taarifa za kuvunjwa kwa bodi ya wadhamini, lasema halijapokea ripoti ya CAG

    Uongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania unapenda kutoa ufafanuzi kufuatia taarifa iliyosambazwa na vyombo vya habari kuhusu Bodi ya Wadhamini wa Kanisa, yenye kichwa cha habari kisemacho, "Bodi ya wadhamini ya Kanisa la Waadventista wa Sabato yavunjwa kwa tuhuma za ubadhilifu."...
  2. figganigga

    Uamuzi wa Mahakama Kuu juu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake

    Uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake vs Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA & Katibu Mkuu wa CHADEMA juu ya pingamizi ya mamlaka ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo utatolewa tarehe 11 Februari 2026 saa tatu asubuhi.
  3. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Bodi ya Wadhamini MOI yakagua hali ya utoaji wa huduma, yapongeza wafanyakazi

    Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma na utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika taasisi hiyo ambapo imewapongeza wafanyakazi kwa kutoa huduma bora wa wagonjwa. Ziara hiyo ya siku mbili imeanza leo Septemba...
  4. W

    GE2025 John Mnyika: Zuio la kufanya siasa linawahusu bodi ya wadhamini na Katibu mkuu, Wanachadema wengine endeleeni bila kutumia mali za chama

    Akizungumza na waandishi wa habari nje ya mahakama Agosti 18, 2025 Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika amewataka Wanachadema wengine kuendelea kufanya siasa ilimradi tu wasitumia mali za chama kwani zuio la kutokufanya siasa ni kwa katibu Mkuu na bodi ya wadhamini. === "Kitu kingine ambacho...
  5. McLaren

    GE2025 Mahakama yatupilia mbali maombi ya bodi ya wadhamini CHADEMA. Kesi yapigwa tena Kalenda hadi Agosti 28

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Bodi ya Wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA, ya kuomba mahakama hiyo kutengua uamuzi wake ulioutoa Juni 10, 2025 wa kuzuia Bodi hiyo na Katibu Mkuu wa chama kutoendelea na shughuli za...
  6. Waufukweni

    GE2025 Kesi ya CHADEMA kumkataa Jaji Mwanga kutolewa maamuzi Julai 28, 2025

    Wakuu! Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo leo Mahakama itaanza kusikiliza shauri ndogo la kumtaka Jaji Hamidu Mwanga...
  7. Carlos The Jackal

    CCM walijaza nafasi ya Mjumbe Bodi ya Wadhamini kuenenda na sheria, CHADEMA Mjumbe wa Bodi udhamin kajitoa, Lipo jambo la kihuni kutoka Kwa wahuni !!

    Chama langu la kupigania HAKI za Watanzania. Majuzi Dikteta aliitisha Mkutano Mkuu Dodoma na ajenda zake Moja wapo ikiwa ni Kuongeza Mjumbe wa Bodi ili kukidhi Idadi ya Wadhamini Kwa namba isogawanyika Kwa Mbili. Leo Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini Mmoja wapo kajitoa . Mh Cheche kamati kuu ya...
  8. Waufukweni

    Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya CHADEMA ajiuzulu nafasi yake

    Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa. Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa Bodi ya...
  9. Taasisi ya Mifupa-MOI

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini MOI akutana na Menejimenti

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Dkt. Marina Njelekela ametembea taasisi hiyo na kufanya mazungumzo na wajumbe wa Menejimenti ambapo amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kutoa huduma bora kwa wananchi. Dkt. Njelekela ametembelea MOI...
  10. milele amina

    Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

    Msikilize huyu mtanzania!! Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu! Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC Manesi wamezidiwa...
  11. Girland

    Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

    UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
  12. Inside10

    Rais Samia: Nimewatia wadhamini timu za Simba SC na Yanga SC

    Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais Samia akizungumza katika uwekaji wa Jiwe la...
  13. Erythrocyte

    TANZIA Silvester Masinde, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA afariki Dunia

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho imeeleza kwamba Mzee Masinde ambaye pia alikuwa miongoni mwa Waasisi wa Chama hicho amefariki Dunia. Haikutajwa sababu ya kifo chake wala mahali alipofia. Silvester Masinde alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chadema. Apumzike kwa Amani .
  14. figganigga

    Rais Kikwete amteua Natu Rashid Msuya, kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wadhamini PTF

Back
Top Bottom