binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoathiri Ulinzi wa Haki za Binadamu

    Kutokuwa na Katiba madhubuti (Katiba ya Wananchi) Kutoheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 Sheria mbaya, zenye mapungufu au zilizopitwa na wakati Uelewa mdogo wa Sheria, zikiwemo zinazohusu Haki za Binadamu Kutofuata utaratibu wa Kisheria Mapungufu ya bajeti katika Sekta...
  2. JamiiForums Tanzania Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

    Amou Haji Mzee wa zaidi ya miaka 75, Raia wa Iran, ndio Binadamu anayeshikiria rekodi ya kuwa Mwanaume mchafu zaidi duniani. Haji amekuwa na matatizo ya kisaikolojia kwa kujengewa imani tangu utotoni mwake kuwa, kitendo cha kusafisha mwili wake kitamsababishia maradhi. Haji Hakubaliani...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yaandaa Mswada wa taratibu za uvunaji na upandikizaji viungo vya binadamu

    Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel amesema kutokana na kuongezea kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo. Ameeleza hayo akimjibu Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve, aliyehoji...
  4. JamiiForums Tanzania Waandishi wa hababari wamekuwa wabaguzi kuripoti habari za uvunjifu wa haki za binadamu. Ila wao yakiwakuta ndio midomo juu

    Kuna habari inatembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwandishi wa gazeti la mwananchi huko Zanzibar amepigwa na kudhalilishwa na wana usalama huko Zanzibar. Inadaiwa maafande wa KMKM walimvamia na kumpa kichapo kisha kumtesa na kumlazimisha avunje simu yake aliyotumia kuwapiga picha wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…