Habarini,
Ni wazi bima ya NHIF inaubaguzi na wananchi wa kawaida hawawezi kumudu gharama zake hivyo ni vyema ikaitwa bima ya watumishi wa serikali ikaeleweka moja.
Sielewi ni kwanini serikali ishindwe kuanzisha bima ya afya kwa watu wote wakati inaweza kufanya uchaguzi kwa gharama kubwa sana...
Kwa kweli sioni na hamna sababu kabisa ya watanzania kushindwa kuwa na bima ya afya kwa wote au kupata matibabu bure kama ilivyo Zanzibar.
Hili ni jambo la msingi sana na linaweza kuokoa maisha ya watanzania wengi ambao wanakufa kwa kukosa matibabu.
Kama imewezekana kwa watumishi kulipia bima...
Habari,
Hali ni mbaya sana kwa wananchi nchini Tanzania ktk swala la kugharamia matibabu kwani zikoo juu sana,sana na watu wanakufa kwa kushindwa kulipia gharama hizo.
Nashauri serikali ifanye maamuzi magumu kwa kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na NIDA basi alazimishwe kuwa na bima ya...
Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp.
1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA ZAO zina wawezesha kupatiwa matibabu ambayo bima ya daktari mwenyewe anayewahudumia haiwezi...
Daada ya andiko la member wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Uongozi wa Chuo Kikuu cha Iringa, hawajali suala la afya za wanafunzi kupitia andiko hili - Chuo Kikuu cha Iringa hakijali afya za Wanafunzi, tumelipia mwezi nne sasa hakuna huduma ya Bima majibu yametolewa na uongozi wa chuo.
Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.