bili ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  2. M

    Wapangaji wenzangu, mnakabiliana vipi na jirani asiyetaka kulipia bili ya maji na umeme?

    Maisha haya! Hii dunia ina mambo sana, hivi wapangaji wenzangu mnakabiliana vipi na mpangaji mwenzako asiyetaka kulipia maji na umeme jamani na mnatumia wote? Huyu jirani yangu kanishinda tabia walahi, angekuwa bidhaa ningemgawa bure kabisa maana hafai msikitini wala kanisani, hafai kwa mchuzi...
  3. M

    Aweso: Bili ya maji inayokuja iwe na uhalisia, watu hawakupata maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiongea na wananchi wa Bunju, ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji DAWASA kutoa bili zenye uhalisia kutokana na watu kukosa maji. Pia soma > GE2025 - Mamlaka za maji kudaiwa kubambikia wateja bills imeanza kitambo, kwanini Samia achukizwe kipindi cha uchaguzi?
  4. THE BEEKEEPER

    Nilipopanga kila siku akina mama wanashindana kufua halafu bili ya maji tunalipa sawa

    Habari zenu ndugu zangu, Lengo la kuleta malalamiko yangu ni kuonya wapangaji vilaza. Kuhusu wapangaji wanao shindana kufua sijui mnavaa Nini maana daily kufua afu bill tunalipa wote sawa.
  5. Missandei

    Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  6. Missandei

    Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  7. CM 1774858

    Katibu Mkuu wa CCM asikitishwa na wananchi Morogoro kutozwa Sh 7,000 bili ya maji yasiyotoka, aagiza TAKUKURU kuchunguza na kuwatia pingu wanaohusika

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah. Kauli hiyo ameitoa leo...
Back
Top Bottom