Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake...
Habari wakuu,wiki kadhaa zilizopita nilipost uzi nikieleza Nia yangu ya ya kuanza biashara ya uwakala wa miamala kwa Mtaji wa 2.5M, nashukuru kwa maelekezo mliyonipa,
Leo narudi Tena kuomba ushauri na muongozo kutoka kwa wale ambao mlishawahi kufanya biashara hii, Je ni mambo gani...
Habari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Ukituma pesa kwa mteja/kuweka pesa. mteja akitoa pesa .
Malipo kutoka mtandao husika kwa wakala yanakuaje kwa mweźi au ni papo hapo kwa kila muamala? .
mwenye kuelewa msaada tafadhali.
Habarini wana JF nina wazo la kuwa wakala mkuu wa kusajili line na kumiliki vijana kadhaa wakusajili.
Je, utaratibu upoje na jinsi ya malipo inakuwaje?
Wazima ndugu zangu,
Si mnajua maisha yalivyo wanadamu tumeumbwa kupambana hapa duniani kwa miaka hii michache tunayoishi hapa alafu ukiangalia maisha ndio yanazidi kuwa magumu ila ndio hivyo tuliambiwa tulime ndio tule kula kwa Jason huko.
Lengo la kuja kwenu wakuu ni kuuliza kwa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.