biashara ya pool table

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kucheza pool table unaweza ukawa unaingiza hela nyingi sana kwa siku

    Kama una mtoto, mnunulie pool table mfundishe kucheza umnoe kila siku, hadi anakuja kufikisha miaka 18 anakua amebobea, anakua unbeaten ambapo kwa uhakika atakuwa GOAT wa pool table. Baada ya hapo aanze kwenda ku challenge wengine kwenye pool table za mashindano kuingiza 80k hadi 100k kwa siku...
  2. Mungasaragha Kalembwe

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya pool table

    Bila kupoteza muda, naomba nifafanuliwe na kunielewesha juu ya hii biashara mfano Mtaji wake ni sh ngapi? Malengo Kwa siku au Kwa wiki sh ngapi? Changamoto zake ni zipi Na mengine ya ziada kama yapo naomba tena wajuzi wa mambo mnisaidie
Back
Top Bottom