Ndugu zangu, kwa uzoefu wangu nimegundua Vietnam wana nguo nzuri sana (kike na Kiume) na bei zake pia ni nzuri.
Natamani sana kufanya biashara ya kuuza nguo kutoka huko. Naomba kwa wenye uzoefu namna ya kupata mzigo maana nimeambiwa hatuna ubalozi wa Vietnam hapa Tanzania. Je process za kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.