biashara ya kuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unauza kuku lakini wateja ni wachache? Hizi ndizo njia za kuongeza mauzo ya kuku kwa rejareja

    Kuwa na kuku wa kuuza hakumaanishi moja kwa moja utapata wateja. Wateja wanahitaji kujua unauza, wakuamini na waone sababu ya kununua kwako badala ya kwa muuzaji mwingine. Biashara ya kuku kwa rejareja ni biashara yenye nafasi kubwa Tanzania kwa sababu kuku huuzwa kwa matumizi ya nyumbani...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Naanza biashara ya kuku, wapi nipeleke kati ya Dar es Salaam na Dodoma?

    Habari... Nipo mkoa wa Tabora nataka kufanya biashara ya kuku na kupeleka Dar es salaam au Dodoma je wapi ni sahihi? Faida za Dodoma Bei inaweza kuwa juu kutokana na nature ya watu wanaoishi huku(Target costumer ni mostly employed) Ukaribu na Tabora kwa usafiri wa roli. Faida ya Dar es...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopenda biashara ya kuku aina ya kuchi chimbo hili hapa

    Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji) Huko kwingine tupo tu kwa sababu tunaishi dunia ya watu wa aina zote but kila nikifungua jf muhimu niingie jukwaa la kilimo na...
  4. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Hadithi ya Mjasiriamali Anayejivunia mafanikio makubwa Kutokana na Biashara ya Kuku

    Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa. 😂😂👆🏾 sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku chotara Bei elfu 10

    Kuku wapo Dsm mbweni jkt kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24
Back
Top Bottom